love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.