Ni mara ya saba sasa..A simple majority does not suffice according to the rules..ni lazima Kura zizidi nusu ya members waliopo House of Representatives ambayo ni 218... Wataendelea hivo hata mwaka mzima,hata mwaka mmoja..rekodi ni spika kuchaguliwa baada ya Kura kupigwa na kurudiwa mara 137 kama sikosei...
McCarthy hapati Kura kwasababu kwa SASA chama chake kina watu wenye mirengo tofauti,,kuna wanaojiita MAGA Republicans na hawa wa zamani kwa jina maarufu na la utani mitandaoni wanaitwa RINOs( Republicans In Name Only) .ningependa kuongelea kwa upana mirengo yao inahusu nini kiufupi hawa MAGA wamechoka kupelekeshwa..Wana mambo Yao wameyaweka mezani ambayo kama McCarthy atayakubali atakua spika,akiyakAtaa wataendelea kupiga Kura mpaka kuchere...
Hivyo ndio jinsi wenzetu wanavyoforce concessions,sio kuitwa ikulu na Kula vitumbua Kesho yake wanaanza kusifia kuachiliwa mikutano ambayo ni haki Yao ya kikatiba sio baraka za Rais