CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

Mkuu Pascal Mayalla we' ni mwandishi pekee hapa Tanzania ambaye ulimhoji JPM, hizo haki anazowanyima wengine, uwezo huo kikatiba anapata wapi? Hakukupa jibu la kueleweka, bali alizidisha ubabe kila kukicha. Sasa, kilichotokea leo, pamoja na kuwa ni kurudishiwa haki iliyonyang'anywa, hao jamaa hawastahili kufurahia?
 
Wewe umefanya nini kuleta mabadiliko? Unalilia wengine wapiganie matamanio yako wewe umelala!!
Kunawatu "Wanahara kati" lakini wanajiita "wana harakati"
Nishavuka level za kutegemea wanasiasa kuendesha maisha yangu..,
ila huwa naumia tu kuona wajinga wakijiaminisha ujinga ndio maana najitolea kuwasaidia
angalau kwa mawazo ninapo wiwa kufanya hivyo.
Sijawahi kuwa mwanaharakati na sijui kama nitakuwa ila
naumizwa sana na ujinga wa watu wengine.
you can rebel me anything you wish.
 
Mkuu Pascal Mayalla we' ni mwandishi pekee hapa Tanzania ambaye ulimhoji JPM, hizo haki anazowanyima wengine, uwezo huo kikatiba anapata wapi? Hakukupa jibu la kueleweka, bali alizidisha ubabe kila kukicha. Sasa, kilichotokea leo, pamoja na kuwa ni kurudishiwa haki iliyonyang'anywa, hao jamaa hawastahili kufurahia?
Mtu akudhulumu nyumba yako alafu baadae akupangishie kachumba kamoja kwa akili yako utafurahi!?
anyway sio makosa yako mzee Mkapa aliwaita malofa.
 
Inaonyesha unawivu kama mwanamke mjamzito, hivi inakuhusu nini wewe chadema kupata au kukosa kura😵
 
Huko Marekani,Leo Kevin McCarthy anaweza asiwe Speaker wa Bunge la wawakilishi Marekani,kisa Tu alikuwa anahujumu juhudi za baadhi ya wawakilishi ndani ya chama chake chenyewe katika utumishi wao kwa zaidi ya miaka minne sasa,,Leo McCarthy ana hitaji Kura 218 awe speaker,Republicans wapo 222, hao watu aliowahujumu miaka nenda Rudi wamekuwa kundi la watu zaidi ya 20+ na wanamnyima uspika MTU wa chama chao...

Kwanini nayasema haya, upinzani wa nchi hii Walikua na nafasi nzuri Sana ya ku-negotiate mambo ya msingi,wamehujumiwa kwa muda mrefu..hii ni kwasababu inaonekana namba moja amebanwa Huko na wahisani. Lakini kwa concessions hizi za kuachiwa wapige mayowe kwenye majukwaa tu,Hapana..Either they can't negotiate au they have negotiated their political futures in the Parliament 2025 and left the country to rot..

Anyway Kila MTU ale kwa urefu wa kamba yake.Wajamaa wameongeza urefu wa kamba.. WEWE JE?
 
Inaonyesha unawivu kama mwanamke mjamzito, hivi inakuhusu nini wewe chadema kupata au kukosa kura😵
Kama mama yako alikuwa na wivu kwenye mimba yako hayanihusu..,
Mimi hata siumii ila DJ kwanini asilambe asali na wenzake kina LIsu na Lema?
 
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.

DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
Mbowe ana Maisha wakati huo wazazi wako wanalalia Ngozi, nyie ukoo wenu wote mmekuja kujua maisha ni nini juzi kati tu, Umezaliwa kwenye zizi la.mbuzi kama yesu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe ulitaka Mbowe afanyaje?
Ni mapema mno kuwahukumu wapinzani.
Ebu tulieni kwanza muone kama malalamiko yao kama hayatafanyiwa kazi ndo mje hapa.
Vinginevyo nyinyi ni wale mliokuwa mnanufaika na ule uhasama uliokuwepo kati ya ccm na upinzani

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wafanyaje...wasifanye mikutano? Siku zote wenye akili wapo na wanajua mema na mabaya...kwani uchaguzi ulopita hatukuona yote??? Hakuna marefu yasiyo kuwa ncha... Ccm kuna mwisho wenu tena hamtaamini.
CCM itachezea makalio yenu kwa miaka mingi sana.
 
Mbowe ana Maisha wakati huo wazazi wako wanalalia Ngozi, nyie ukoo wenu wote mmekuja kujua maisha ni nini juzi kati tu, Umezaliwa kwenye zizi la.mbuzi kama yesu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Baba yake na babu yangu anauza ng'ombe na pamba enzi hizo pamba inaitwa dhahabu nyeupe kwenye minada akiwa na SMG amebeba, analimia tractor, boma zima la baba yake na babu yangu kuna nyumba za bati, anamiliki mashine za kusaga na kukoboa na hekta zaidi ya 5000 za mashamba, anang'ombe zaidi ya 10000 watoto wake miaka hiyo wanaenda shule kwa ndege.
mama yangu hana pesa ila baba yangu alifanyiwa auditing na Magufuli hela alizonazo benki alizipataje na wakaishia kumuomba ajenge hata vitu vinavyotoa huduma za jamii kama shule au hospitali.
mimi bado niko natafta za kwangu mkuu hatufanani.
 
Yule Ni Rais, haijalishi jinsia yake. Ana back up kubwa Sana. Mbowe kafanya part yake na kapata alichotaka . Mkutano wa kwanza wa Thanksgiving tunaanzia uwanaja wa mashujaa Moshi.
😂😂 Haya sawa
 
Back
Top Bottom