Huko Marekani,Leo Kevin McCarthy anaweza asiwe Speaker wa Bunge la wawakilishi Marekani,kisa Tu alikuwa anahujumu juhudi za baadhi ya wawakilishi ndani ya chama chake chenyewe katika utumishi wao kwa zaidi ya miaka minne sasa,,Leo McCarthy ana hitaji Kura 218 awe speaker,Republicans wapo 222, hao watu aliowahujumu miaka nenda Rudi wamekuwa kundi la watu zaidi ya 20+ na wanamnyima uspika MTU wa chama chao...
Kwanini nayasema haya, upinzani wa nchi hii Walikua na nafasi nzuri Sana ya ku-negotiate mambo ya msingi,wamehujumiwa kwa muda mrefu..hii ni kwasababu inaonekana namba moja amebanwa Huko na wahisani. Lakini kwa concessions hizi za kuachiwa wapige mayowe kwenye majukwaa tu,Hapana..Either they can't negotiate au they have negotiated their political futures in the Parliament 2025 and left the country to rot..
Anyway Kila MTU ale kwa urefu wa kamba yake.Wajamaa wameongeza urefu wa kamba.. WEWE JE?