christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Haaaahaaahaaa mkuu umeongea kwa uchungu sana.Hiyo lugha ya "kulamba asali" ni ya maudhi sana. Ukiulizwa utueleze hiyo asali inalambwaje unaweza kueleza? Wewe mwenyewe uko nyuma ya keyboard huku ukitumia fake ID, halafu uko frontline kubeza watu wanaojitolea muda, rasilimali na uhai wao kurekebisha mambo. Afadhali wao wamefikia hapo, wewe mchango wako ni upi? Si ujitokeze unyooshe yaliyoshindikana ili tukuone kidume?