CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

Ukitukana utaonekana mshamba tu . Mnachukia maridhiano mnataka watu wauane. Nchi nyingi za africa zinangamia kwa watu kutokaa meza moja. Leo mama kawaita machawa hamjistukii tu
Hayo maridhiano gani ambayo hata makamu mwenyekiti wenu hajui manaridhiana nini!?
hiyo ni asali tu hakuna maridhiano hapo
 
Nilitaka wakumbuke wakati huu wanaposherekea matunda ya maridhiano ccm kwenye sanduku la kura hawana maridhiano
Sasa wafanyaje...wasifanye mikutano? Siku zote wenye akili wapo na wanajua mema na mabaya...kwani uchaguzi ulopita hatukuona yote??? Hakuna marefu yasiyo kuwa ncha... Ccm kuna mwisho wenu tena hamtaamini.
 
Yaani kama bado unafikiri mabadiliko yote hayo ni kwasabau ya Chadema na siyo nchi basi unahitaji muda kuwa mtu mzima. Katiba ni kwa kila mtu. Wakina Mbowe na Samia wanafikira miaka 50 ijayo sio miaka miwili ijayo
Samia anafikiria misaada na mikopo ya wahisani. Vyote hivyo kafanya kufurahisha wadau wa maendeleo, hivi hamwezi kusoma tabia za watu? CCM hawana mpango wa kuwapa madaraka chama chochote kwa njia ya kistaraabu.
 
Hakuna mchakato wowote wa katiba pumbavu ww...Nani akupe katiba wewe kwa kipi special? CCM watakula hela kama ilivyo ada.

Tuheshimiane. Matusi ya Nini una hasira kumzidi Mwenyekiti wa CCM? Au Mzee Makamba wa CCM ? . Aisee. Pumzika hasira ziishe. Unadharau Sana unaona wengine hawafai kisa sio CCM ?.

Katiba mpya ni haki ya kila raia. Kama CCM watakula watajua wenyewe na Mungu wao. Sisi tunaangalia haki sio ushetani wa CCM .
 
Siwezi kufurahia usanii!!! Ni sawa na mke wako atoke kuchepuka halafu aje kujifanya anakupeti peti 🤣 nawewe unachekelea tu.

Mfano mfu?. Ndoa ni private ila politics is public. Tafuta mfano mzuri. Au unamaanisha CCM ni mke wa CHADEMA?
 
Back
Top Bottom