econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hapo jamaaa keshakuwa compromised. Wala hana cha kudai kwa watawala
Naona Kuna watu wameumia Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo jamaaa keshakuwa compromised. Wala hana cha kudai kwa watawala
Uzuri ccm huwa hawaruhusu point tatu kipindi cha uchaguziHukutegemea CHADEMA kufanikiwa kupata point tatu muhimu. Mikutano na Mchakato wa Katiba mpya. Halafu happy Bado wapo kwenye mazungumzo Bado hayajaisha. So tutulie kwanza.
Watu wanna njaaa kali
Hizo ni mind games za CCM. Ukiona wapinzani wako happy hawalalamiki jua mifuko yao imejazwa noti. Thats the Norm and vice versa is true 😀Uzuri ccm huwa hawaruhusu point tatu kipindi cha uchaguzi
Ni mwisho mzuri kwa sa100 kwenda kuzoa kura 99.999% na DJ kulamba asali
ila kwa wengine maumivu yapo pale pale
Hakuna aliyeumia boss isipokuwa hizi ni mbinu za kitapeliNaona Kuna watu wameumia Sana.
Ukiwa na kesi ya kujibu maana yake una hatia?Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu Dj akaona anunue uhuru wake huku akilamba na asali
Lissu na lema waameshtuka kuwa mbowe analamba peke yake sio kama 2015 walilam,ba woteHahahah wanahisi itatokea siku akiri kuwa analamba asali.
Kama hivyo ndivyo unavyoamini basi naheshimu mawazo Yako,Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu Dj akaona anunue uhuru wake huku akilamba na asali
Kama mpira kati ndio huu basi mtasubiri sana 2028 subiri tena maridhiano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbowe katulia tulii yeye analamba na Zitto nae analamba kivyake.Lissu na lema waameshtuka kuwa mbowe analamba peke yake sio kama 2015 walilam,ba wote
Ukiwa na kesi ya kujibu maana yake mahakama bado inanoana kuna ushahidi unaoweza kukuweka hatianiUkiwa na kesi ya kujibu maana yake una hatia?
Kama huna uelewa na mambo ya kisheria ni bora zaidi kuwa kimya mkuu ili kulinda heshima kidogo uliyonayo.
Maamuzi ya nchi siyo sawa na maamuzi ya familia ambayo unafanya instantly. Tumpe benefit of doubt kwa vile immediately alipoapishwa aliomba muda kwanza atathmini maamuzi ya zuio lililowekwa na mtangulizi wake dikteta Magufuli.Ndugu Stuxnet,
miaka miwili ya huyu ZUIO lilikuwepo, pia tumwite dictator?
ccm imeona tena iwalmbishe asali mtulie kidogo mpaka 2025 muombe tena maridhianoMambo yaliharibika baada ya uchaguzi wa 2015, CCM iliona ikieuhusu wapinzani itapoteza muelekeo. Ndio maana 2020 mtandao wa internet ilizimwa siku ya kupiga kura and beyond.
HII subira ni ya kuwavuta tu ulingono 2025 mpate kura moja muanze kulilia tena maridhiano
Point tatu za nyokow!? They have merged their cards with the ruling party. Win-Win situation ndio kitu kinachofanyika japo mnaona nyeupe ila wenye tafakari pana tunaona ni njano. 🤣Sio njaa. Wana akili Sana. Kupata pointing tatu sio mchezo.
Wazee wa mama anupiga mwingi 2025 mtapata kura mojaMaamuzi ya nchi siyo sawa na maamuzi ya familia ambayo unafanya instantly. Tumpe benefit of doubt kwa vile immediately alipoapishwa aliomba muda kwanza atathmini maamuzi ya zuio lililowekwa na mtangulizi wake dikteta Magufuli.
Acha chenga,Maamuzi ya nchi siyo sawa na maamuzi ya familia ambayo unafanya instantly. Tumpe benefit of doubt kwa vile immediately alipoapishwa aliomba muda kwanza atathmini maamuzi ya zuio lililowekwa na mtangulizi wake dikteta Magufuli.