CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

Mnafahamika tu wale msiopenda utangamano katika taifa. Imewauma kuona baadhi ya matunda ya maridhiano yakianza kupatikana. Bila shaka watu kama wewe ni wale waliokuwa wakineemeshwa na hali iliyokuwepo. Sasa tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
hilo ni takwa la katiba sio maridhiano
 
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza
kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena
stori za katiba mpy, anasubiri tena maridhiano 2028.

Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa hizo kura unaziongelea ni zipi?
 
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza
kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena
stori za katiba mpy, anasubiri tena maridhiano 2028.
Hivi watanzania mnajuwa kweli mnachokitaka? Kila kitu kulalamika tu.

Kwanini msifurahi kuona mikutano iliyosimamishwa na dikteta Magufuli sasa imeruhusiwa kwa busara ya Rais Samia?
 
Wapuuzi wa CCM Siku zote wanawaza kushinda chaguzi tu, pumbavu kweli
 
Hivi watanzania mnajuwa kweli mnachokitaka? Kila kitu kulalamika tu.

Kwanini msifurahi kuona mikutano iliyosimamishwa na dikteta Magufuli sasa imeruhusiwa kwa busara ya Rais Samia?
Dogo Mpuuzi sana huyu, achana nae
 
Hivi watanzania mnajuwa kweli mnachokitaka? Kila kitu kulalamika tu.

Kwanini msifurahi kuona mikutano iliyosimamishwa na dikteta Magufuli sasa imeruhusiwa kwa busara ya Rais Samia?
Ndugu Stuxnet,

miaka miwili ya huyu ZUIO lilikuwepo, pia tumwite dictator?
 
Kama ile kesi ya gaidi wanasema alikuta maagizo sitoshangaa 2025 wakipata kura 1 wakasema yalikuwa ni maagizo toka kwa hayati
Jambo moja unatakiwa kulijua ni kuwa,

Mbowe anapokaa kimya Huwa ni hatari ktk kupanga mikakati kuliko hata anapokuwa jukwaani.

Uchaguzi Leo hii ukifanyika Kwa HAKI, CDM wanapaita 70% ya wabunge wote.
 
Back
Top Bottom