econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
waliokataa ni wana ccm wenyewe na waliokubali ni wao wale wale hakuna mwananchi alipiga kura ya maoni.
pressure ya mabeberu kupewa misaada
Mabeberu Tena? Duh angalia unakoelekea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waliokataa ni wana ccm wenyewe na waliokubali ni wao wale wale hakuna mwananchi alipiga kura ya maoni.
pressure ya mabeberu kupewa misaada
Huu ujinga wa kulambishana asali Magufuli hakuwahi kuufanya ndio chanzo cha mtifuano mkali by the time yuko madarakani. Wewe ni mpinzani kaa katika nafasi yako sio unaleta unafiki 🤣🤣🤣!ccm imeona tena iwalmbishe asali mtulie kidogo mpaka 2025 muombe tena maridhiano
Mabeberu ndio! Kwani hujui bajeti yenu kila mwaka huchangiwa na mabeberu?Mabeberu Tena? Duh angalia unakoelekea.
Continue to fall for mind games🤣
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
Team Jiwe bhana !Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
Uzuri ccm huwa hawaruhusu point tatu kipindi cha uchaguzi
UKO GIZANI SANA MZEE, ELIMU ELIMU ELIMUUU!Yaani kama bado unafikiri mabadiliko yote hayo ni kwasabau ya Chadema na siyo nchi basi unahitaji muda kuwa mtu mzima. Katiba ni kwa kila mtu. Wakina Mbowe na Samia wanafikira miaka 50 ijayo sio miaka miwili ijayo
Aliyewaita malofa hakukoseaSasa hivi Kuna uchaguzi gani?. CCM ni wabaya tokea mwanzo , lakini CHADEMA wamepata wanachotaka kwa kiasi chake. Mambo mengine tutayarekebisha kwenye mchakato wa katiba.
Hakuna mchakato wowote wa katiba pumbavu ww...Nani akupe katiba wewe kwa kipi special? CCM watakula hela kama ilivyo ada.Sasa hivi Kuna uchaguzi gani?. CCM ni wabaya tokea mwanzo , lakini CHADEMA wamepata wanachotaka kwa kiasi chake. Mambo mengine tutayarekebisha kwenye mchakato wa katiba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbowe katulia tulii yeye analamba na Zitto nae analamba kivyake.
Siwezi kufurahia usanii!!! Ni sawa na mke wako atoke kuchepuka halafu aje kujifanya anakupeti peti 🤣 nawewe unachekelea tu.Ndicho mlichobakiza hakuna jingine. Semeni hamjafurahia, acheni kujificha.
Ukiwa na kesi ya kujibu maana yake mahakama bado inanoana kuna ushahidi unaoweza kukuweka hatiani
ndio maana Mbowe alipotoka moja kwa moja ikulu kushukuru kuepushiwa aibu alijua kinachofuata mama akampa na buyu la asali kimya mpaka leo
Ilifutwa na DDP sio mahakamaKesi ya kujibu maana yake unatakiwa kujiteteea Kuna mambo inatakiwa uyatolee ushahidi kuyapinga. Tofautisha rulling of case to answer na Conviction. Halafu kesi ilishafutwaa
Chadema ni mazuzuSiwezi kufurahia usanii!!! Ni sawa na mke wako atoke kuchepuka halafu aje kujifanya anakupeti peti 🤣 nawewe unachekelea tu.
ccm imeona tena iwalmbishe asali mtulie kidogo mpaka 2025 muombe tena maridhiano
Mi sijaelewa...kwani we ulitakaje???Mkuu 2025 sio mbali nitawaona
Hiyo ni danganya toto on the ground watu wanalamba asali maridhiano gani ya watu watatu!?Asali gani?. Unaruhusu mikutano ndio asali au hitaji la kikatiba. CCM waendelee na ushetani wao, ila CHADEMA wamepambana kutoka kupigwa risasi mpaka kulindwa na Polisi kwenye mikutano yao. Big up CHADEMA
Point tatu za nyokow!? They have merged their cards with the ruling party. Win-Win situation ndio kitu kinachofanyika japo mnaona nyeupe ila wenye tafakari pana tunaona ni njano. 🤣
Tatizo tz hatujui haki yetu....tamko limekuwa kama hisani.... Ndo maana mchicha wanashangaa mama yao kuruhusu hili wanaona kama upendeleo....Asali gani?. Unaruhusu mikutano ndio asali au hitaji la kikatiba. CCM waendelee na ushetani wao, ila CHADEMA wamepambana kutoka kupigwa risasi mpaka kulindwa na Polisi kwenye mikutano yao. Big up CHADEMA