johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.
Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.
Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.
Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.
Maendeleo hayana vyama!