Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani amuogopa Bashite, sio yeye tu hata jiwe anayemtegemea. Madaraka yao ndio yanawabeba. Hebu leo wavuliwe madaraka halafu tuwafungie chumba kimoja jiwe na Bashiri v/s halima Mdee na matiko uone kipondo watakachopata jiwe na bashite, kelele watakayopiga ya kuomba msaada hutaamini kama ni wanaume. Siku ile kavamia clouds alikuwa na akina nani? Ukitaka kujua madaraka yana nyodo kamuangalie Mwigulu waziri na Mwigulu wa sasa, ile sauti ya kibabe imeisha saa hii sauti yake ni kama ya Wema Sepetu.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk