CHADEMA watajilaumu sana kwa kutoanzisha kituo cha television katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya uhai wake

Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nchi takataka na failed state kama Tanzania ambayo kituo cha habari maelezo ndio mahakama na ndio wanaokosewa ukijimlisha na TCRAccm ambayo ukiamka tu wanafunga vituo wanavyojisikia, hicho kituo cha Television kwanza hata leseni tu wakipewa washukuru Mungu.

Jamani CCM ni takataka na joka hatari mno, why mnlai underate kiasi hiki.

Magazeti tu yenyewe mtazamo tofauti mostly yamefeungwa. Mwanahalisi. Mawio, Tanzania Daima. Imebaki Mwananchi ambayo nayo inaishi kwa kupuliza puliza. JF yenyewe kesi 400 mahakamani na vitisho.
Kwasasa meza za magazeti zinakjaa magazeti yao yote kama Tazama, Tanzanite, Hoja n.k na huku radio zote zao wamenunua.

Wabongo na fikra duni hamjambo!
You have eyes, but you can't see
 
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Tanzania Daima tu limefungiwa seuze TV au radio station?
 
..vyombo vya habari vilivyopo vina matatizo gani?

..suluhisho ni vyombo vya habari kuwa HURU ktk kutekeleza majukumu yao.

..anayestahili lawama siyo cdm, bali yule anayeingilia na kubinya UHURU wa vyombo vya habari.

Naangalia list ya waunga mkono bandiko lako hili ambalo linakinzana na hoja ya mleta mada.

Ajabu ni kuwa mleta mada pia kaungwa mkono na mmoja wa waliounga mkono hoja yako wewe.

Inawezekana vipi kuunga mkono hoja mbili zinazokinzana kwa wakati mmoja? Haya ndiyo yale ya kuwa rafiki wa Mungu na wa shetani kwa wakati huo huo?

Ama kweli kua uone mambo maana kwa njaa hizi ajuaye mola peke yake:

IMG_20200920_062359_424.jpg

IMG_20200920_062447_328.jpg

Ilboru Alumni unashusha hadhi za manguli wenzio kina Lissu (Rais mtarajiwa) uliowahi kujinasibu kuwa ulisoma nao huko.

Wenzio walielimika wewe ulisomea nini? Ushauri wa bure jinasibu zaidi na kina "Alumni wa Kawe" angalau kwa pamoja mtamwitikia yule bwana:

"Mungu hoyeeeee!"
 
Mkuu johnthebaptist, kiukwelihoja yako hii ni hoja ya muhimu sana, Chadema wana tatizo kubwa la kutokuona mbali, myopia, hivyo wanashindwa kupanga vipaumbele vyake. Angalia jambo muhimu kama hili, mimi niliwashauri lini
Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
nilisema

P
Tanzania Daima tu limefungiwa seuze TV au radio station?

it wouldn't have made any difference.

in fact, hii strategy ya Magufuli kum mute Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari ndiyo imempaisha zaidi Lissu.

ni dhahiri kabisa watu si kwamba tu wapo sympathetic na Lissu bali wana hamu ya kusikia kitu kipya - monotone ya 5 years ya SGR, Stiegler's Gorge, nk imewachosha.
wewe mwenyewe ni shuhuda jinsi campaign rallies za Lissu zinavyowavutia wapiga kura - wahudhuriaji wake wanaonekana wamekuja kwa hiari yao na wapo very genuine while on the contrary zile rallies za Magufuli zimekuwa entertainment bonanzas.

there's a surprise in waiting post 28 October. watu watadondoka kwa hypertension!
 
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo ni mbowe,alitakiwa ajiuzulu Aachie vijana waongoze,kakomaaa weeee lakini hana ubunifu.Ni mlafi wa madaraka.hana mvuto tena
 
Waliku
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Walikua na magazeti yapo wapi sasa? Hivyohivyo hata redio na tv vingefungiwa tu.
 
Uwongo mbaya, mleta mada ulikuwa na point!

Chadema walideal na petty issues wakasahau future yao

..wanayo Chadema media TV.

..lakini juzi kuna vijana wao wamekamatwa na TCRA na kufunguliwa mashitaka.

..dola imedhamiria wapinzani wasisikike, I dont think it would have helped Chadema kuanzisha TV yao sawa na TBC, au ITV.
 
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi kwani CCM wana TV yao?
 
Kwani chadema iko kwa ajili ya watanzania au matumbo ya viongozi?? Wewe hujui hilo,unaongelea TV badala ya kujoji ujenzi wa ofisi makao makuu. Chadema ina wenyewe bwasheee
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Wapo raia wana lalamika vyama vya upinzani kuwa ni dhaifu. Wanatamani vingekuwa na nguvu za kutoshana na CCM.

Hawaoni kuwa wao pia wana wajibu wa kuwa upinzani.

Nauliza, nani ana wajibu wa kuwa upande wa vyama vya upinzani?

Je watu huzaliwa kuwa upinzani?

Huo upinzani hata ungekuwa na TV kwa mwenendo uliopo TV ingefungwa tu.

Bado kuna raia wanaona chama kimoja kuhodhi bunge ni jambo la afya kwa Taifa.

Wapo watu wengi hapa Afrika wanalazimika kuunga mkono vyama tawala kwasababu tu watawala wanatengeneza mazingira hayo.

Ni hadi pale tukiunga mkono upinzani kwa wingi ndipo tutakapopata mabadiliko ya kweli.
 
Tanzania Daima tu limefungiwa seuze TV au radio station?

it wouldn't have made any difference.

in fact, hii strategy ya Magufuli kum mute Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari ndiyo imempaisha zaidi Lissu.

ni dhahiri kabisa watu si kwamba tu wapo sympathetic na Lissu bali wana hamu ya kusikia kitu kipya - monotone ya 5 years ya SGR, Stiegler's Gorge, nk imewachosha.
wewe mwenyewe ni shuhuda jinsi campaign rallies za Lissu zinavyowavutia wapiga kura - wahudhuriaji wake wanaonekana wamekuja kwa hiari yao na wapo very genuine while on the contrary zile rallies za Magufuli zimekuwa entertainment bonanzas.

there's a surprise in waiting post 28 October. watu watadondoka kwa hypertension!

Sijui washauri wa Jiwe ni kina nani!!!
 
Naam, CCM mnayo TBC, polisi na NEC.

Back
Top Bottom