CHADEMA watajilaumu sana kwa kutoanzisha kituo cha television katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya uhai wake

Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Marehemu Tunashukuru Mungu kwa kukufufua leo toka kuzimu. Hapo ulipo hujui kama kuna kanuni Mpya za utangazaji zinafungia kila chombo chenye kusukuma ajenda za upinzani hapa nchini.
 
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.

Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.

Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.

Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.

Maendeleo hayana vyama!
Hata ingeanzishwa faida take kubwa katika mazingira tuliyonayo no ipi, zaidi ingekuwa ni mahalo pa kukusanyia faini, kwani Sasa vyombo hivyo vimezibwa midomo na sheria na kanuni nyingi nyingi.
 
Back
Top Bottom