johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.
Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.
Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.
Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kama wangekuwa na jengo zuri, kumiliki kituo cha TV si kazi rahisi hata kwa chama tawala, inahitaji uwekezaji katika biashara hiyoHiyo ni kazi kubwa sana kwa chadema wameshindwa kujenga ofisi za chama ingewezekana kwa kituo cha tv fahamu hata baadhi ya vyama wapo zaidi kibiashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.
Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.
Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.
Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.
Maendeleo hayana vyama!
Ulafi wa pupa wa ruzukuKushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.
Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.
Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.
Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.
Maendeleo hayana vyama!
Leseni wangepata wapi?Kushindwa kurusha mahojiano ya maalimu Seif pale Clouds tv ni salamu tosha kwa wapinzani kuwa tunakoelekea haitakuwa rahisi tena viongozi wa upinzani kualikwa na vituo vya habari vinavyomilikiwa na wanaccm.
Ikumbukwe pale Clouds media Rostam Aziz aliwahi kufanya uwekezaji wake na hata magazeti yake ya Mtanzania yameacha kuandika propaganda za Chadema baada ya Lowassa kuondoka.
Ni swala la muda tu habari za Mbowe na wapinzani wengine tutazisoma kupitia Tanzania Daima tu na hapa Jf.
Kwanini Chadema hamkuliona hili na kuanzisha luninga yenu kama wale akina Mwamposya na Mwingira?.....ni sehemu ndogo sana ya ruzuku ingefanya kazi hii.
Maendeleo hayana vyama!
Mipasho ya Mwajuma nichokonoe!!Tatizo mwenyekiti sugu anasasambua ruzuku yote peke yake, wengine wakihoji matumizi wanaambiwa "nitakushughulikia"
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyombo vya habari karibia vyote vinamilikiwa na wanaccm....... Kwahiyo vina mgongano wa kimaslahi!..vyombo vya habari vilivyopo vina matatizo gani?
..suluhisho ni vyombo vya habari kuwa HURU ktk kutekeleza majukumu yao.
..anayestahili lawama siyo cdm, bali yule anayeingilia na kubinya UHURU wa vyombo vya habari.
Kwahiyo Chadema wote mnamuogopa huyo mnayemuita Bashite!Cdm ni chama cha siasa sio waendesha vituo vya matangazo. Hata kama wangekuwa na kituo cha televisheni Bashite angekivamia tu na watangazaji wote wangetekwa. Kwani miaka yote ccm ilipokuwa ikikubali ushindani kwa shingo upande si walitumia hizi hizi TV zilizopo, leo kwanini wazuiwe wakati hawavunji sheria? Halafu kwa huu upuuzi mtu anasimama anasema eti jiwe atashinda kwa kishindo 2020 maana anakubalika sana na wananchi.
Hata kama ile ya Le mutuz inawashinda kweli?!Hata kama wangekuwa na jengo zuri, kumiliki kituo cha TV si kazi rahisi hata kwa chama tawala, inahitaji uwekezaji katika biashara hiyo
Kwahiyo Chadema wote mnamuogopa huyo mnayemuita Bashite!