Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
sasa kusiwe na utaratibu wa kufuata? yaani kwa sababu wewe umesema ndio iwe?CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kusiwe na utaratibu wa kufuata? yaani kwa sababu wewe umesema ndio iwe?CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
lissu akiwa mwenyekiti wa chadema ccm itanufaika vipi, au wanamuingiza kingi kwenye kumi na nane zao waimalize kabisa chadema halafu baadae mama ashinde kwa ulaini bila upinzani mkali wa chadema?
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam.
Fuatilia live mazungumzo yake hapa
Katibu Mkuu anatangaza kuwa kutakuwa na uchaguzi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari 2025.
- CHADEMA yatoa tamko la Uchaguzi wa Kitaifa kwa mwaka 2024
Fomu za kugombea ngazi ya Taifa zinapatikana katika ofisi za makao makuu ya Chama (Mikocheni), makao makuu ya Mabaraza, ofisi za Kanda, ofisi za Chama za mikoa na wilaya kuanzia tarehe 17 Desemba 2024. Mwisho wa kurejesha fomu ni Januari 5, 2025, saa 10 jioni katika ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam au katika ofisi za Kanda anayotoka mgombea husika.
Mbowe kakatazwa na maaskofu asigombee 🐼Ngoja tuone msubiri kujisifu baadae
Ubabaishaji au taratibu za chama,Mwenyekiti wa chama chenye lengo la kushika dola hawezi kupewa kama hisani lazima kura zipigwe kwa uwazi na mshindi hapewe haki yake(ndio msingi wa demokrasia kuchagua au kuchaguliwa).CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
Unaandika utumbo tuKwa jinsi CCM wanavyompa promo TAL awe mwenyekiti naona kuna shida pahala ,Ukizangiatia Abdul alionana na TAL na Pastor Kinyambe ni mshikaji wake sana TAL na ndiye aliyefinance mkutano.
Kwa namna ulivyotukuka hapa Jamvini sina budi kukubaliana na maelezo yako mkuu, 🙏Ni utaratibu kaka wala hakuna ubabaishaji .. Na Lissu ndio chaguo la chama
Kwani imetoka form moja tu ya nafasi ya Uenyekiti ?Ni utaratibu kaka wala hakuna ubabaishaji .. Na Lissu ndio chaguo la chama
Mzee unazingua ujueCCM ndiyo wanampenda Lissu awe mwenyekiti ndiyo cha kushangaza ,hata mkutano wa lissu umekuwa financed na Pastor Kinyambe Msigwa na waliohudhuria ni wanasisisemu waliovalia mavazi ya CDM.
Kwa busara Mbowe hakupaswa tena kuingia kwenye kinyang'anyiro na Lisu, huo ni uroho mkubwa wa madaraka, na wengi watakaomchagua Mbowe ni kwa sababu ya maslahi Tu ya kisiasa lakini itoshe Mbowe kazi ya Uenyekiti imeshamshindaUbabaishaji au taratibu za chama,Mwenyekiti wa chama chenye lengo la kushika dola hawezi kupewa kama hisani lazima kura zipigwe kwa uwazi na mshindi hapewe haki yake(ndio msingi wa demokrasia kuchagua au kuchaguliwa).
Mimi kama ndiyo Lissu siwezi ungana na wauaji CCM bora niende hata AICT.Kwa jinsi CCM wanavyompa promo TAL awe mwenyekiti naona kuna shida pahala ,Ukizangiatia Abdul alionana na TAL na Pastor Kinyambe ni mshikaji wake sana TAL na ndiye aliyefinance mkutano.
Apewe kivipi? Muache ashindane, akishinda atakuwa mwenyekiti, asiposhinda hawi mwenyekiti!!CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
Pumbavu mkubwa wewe, wachaga si watu?MBOWE NI CHAGUO LA WACHAGA NA NDIYO WENYE CHAMA CHAO MTAWAAMBIA NINI?
Hii ndo demokrasia? Kwanini Lissu na si Odero?CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
Usiwasingizie CCMCCM ndiyo wanampenda Lissu awe mwenyekiti ndiyo cha kushangaza ,hata mkutano wa lissu umekuwa financed na Pastor Kinyambe Msigwa na waliohudhuria ni wanasisisemu waliovalia mavazi ya CDM.
CCM ndiyo wanampenda Lissu awe mwenyekiti ndiyo cha kushangaza ,hata mkutano wa lissu umekuwa financed na Pastor Kinyambe Msigwa na waliohudhuria ni wanasisisemu waliovalia mavazi ya CDM.
Watu wanasubiri kuona matamko yatakayoonyesha kuna mgogoro chadema,lakini hawapati.Wanadhani Lissu kutangaza nia kutaleta mgogoro na chairman.Hawajui hayo ni maamuzi ya chamaNi utaratibu kaka wala hakuna ubabaishaji .. Na Lissu ndio chaguo la chama
Yeyote ni poa tu. Mbowe apumzikeHii ndo demokrasia? Kwanini Lissu na si Odero?
utashangaa yaleyale ya ccm atakatwa kwamba kajaza fomu vibayaSawa
Fomu zitolewe online
Msije kumpa Tundu Lisu Fomu zenye unga unga 🐼