CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
sasa kusiwe na utaratibu wa kufuata? yaani kwa sababu wewe umesema ndio iwe?
 
lissu akiwa mwenyekiti wa chadema ccm itanufaika vipi, au wanamuingiza kingi kwenye kumi na nane zao waimalize kabisa chadema halafu baadae mama ashinde kwa ulaini bila upinzani mkali wa chadema?

Ukiona Mpinzani anakuunga mkono jua unaingia CHAKA ,kwanini haujiulizi CCM hawamtaki MBOWE wanamtaka TAL? Na kwanini Pastor Kinyambe Msigwa ndiyo a-finance mkutano wa Lissu? Na kwanini waliodhuria wengi pale kwqenye mkutano wa Lissu wengi walikuwa SISIEMU waliovalia mavazi ya CDM? Mimi nashangga jinsi sisisemu wanavyompigania Lissu awe mwenyekiti.
 
Mbowe mitano tena 😆😆
 
CDM acheni ubabaishaji na kupoteza muda bure, Lisu apewe Uenyekiti mambo yasiwe mengi
Ubabaishaji au taratibu za chama,Mwenyekiti wa chama chenye lengo la kushika dola hawezi kupewa kama hisani lazima kura zipigwe kwa uwazi na mshindi hapewe haki yake(ndio msingi wa demokrasia kuchagua au kuchaguliwa).
 
Ubabaishaji au taratibu za chama,Mwenyekiti wa chama chenye lengo la kushika dola hawezi kupewa kama hisani lazima kura zipigwe kwa uwazi na mshindi hapewe haki yake(ndio msingi wa demokrasia kuchagua au kuchaguliwa).
Kwa busara Mbowe hakupaswa tena kuingia kwenye kinyang'anyiro na Lisu, huo ni uroho mkubwa wa madaraka, na wengi watakaomchagua Mbowe ni kwa sababu ya maslahi Tu ya kisiasa lakini itoshe Mbowe kazi ya Uenyekiti imeshamshinda
 
Kwa jinsi CCM wanavyompa promo TAL awe mwenyekiti naona kuna shida pahala ,Ukizangiatia Abdul alionana na TAL na Pastor Kinyambe ni mshikaji wake sana TAL na ndiye aliyefinance mkutano.
Mimi kama ndiyo Lissu siwezi ungana na wauaji CCM bora niende hata AICT.
 
Ni utaratibu kaka wala hakuna ubabaishaji .. Na Lissu ndio chaguo la chama
Watu wanasubiri kuona matamko yatakayoonyesha kuna mgogoro chadema,lakini hawapati.Wanadhani Lissu kutangaza nia kutaleta mgogoro na chairman.Hawajui hayo ni maamuzi ya chama
 
Vita iliyoibuka kisa Lissu ni kubwa Boni na genge lake,huku Yeriko Nyerere nayeye hapoi,kwahiyo chadema ni ngumu kuongoza kuliko kuwa Rais wa Tanzania? Yale yale ya sisiemu ndiyo nayaona chadema,uchawa huu binafsi naona hata chadema ni wale wale tu wapigania tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…