Mi sina tatizo na mbowe ameteseka sana awamu ya 5,Maumivu yakizidi muone daktari.View attachment 2111190
mkiambiwa mbowe ni jambazi mnakataa unaona hapo watakuja na maneno ya kejeli ajabu maana chademahawapendagi kuambiwa ukweli
ndiyo mana anateseka tena hana akili mboweMi sina tatizo na mbowe ameteseka sana awamu ya 5,
Pesa zake zilikuwa freezed,wengine wanasema alifiriska,,,
Wiki ya kwanza tu ya Samia kazini,aka unfreez account zake,. Sasa badala ya asante , mbowe akaanza kumnanga samia, yaani hata kushukuru hamna,,
Kwi kwi kwiEti hawa ndiyo vijana wa CCM 🤣🤣🤣
Ritz kijana?Eti hawa ndiyo vijana wa CCM 🤣🤣🤣
Leo hii unamuona kigogo ni muongo?Eti hawa ndiyo vijana wa CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Mbwa unajiita mpenda haki!?? Unavizia uzuie ili afungwe tu siyo Nyang'au wa head!!Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421
Si mlisema wanajitolea?Kweli CHADEMA inawaweza. Kwa hivyo unataka wakueleze wewe Kama Nani?. Mpaka pesa ya kesi mnaitaka, hamjaridhika na tozo na mikopo ya IMF.
Tulia wewe kamanda asiyechoka, idugunde the witch, kituriloBuji, za kuwalipa mawakili si tumechanga! Kumbe mnatuchangisha wakati mmepewa mamilioni ya kuendeshea kesi?!
Yaezekana unayo hoja but.. kwanza lete ushahid juu ya hilo fungu, pili utapewa utaratib wa wap pa kuhoji ili upate ukwel!!Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421
Labda amuulize Prof Assad zilipo tilion 1.5 kwanza badala ya kuuliza fedha ambazo hazijatoka hazina( open society)Tumekula,,Unasemaje???
open society ...ulitaka apewe babakoWanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421
Amepauka-pauka kama polepole hadi haeleweki kama ni kijana au mzee.Ritz kijana?
Weka ushahidi wa muamalaWanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini?
Watanzania wapenda haki na wafuasi wenu wanataka kujua
Wanasubiri Majibu.
View attachment 2110421
Ndio mana wanaongea ujinga muda wote
Ulizieni habari za migao ya samia huko misikitini huku sio level zenu.Siyo mimi ambaye nataka kujua Watanzania wapenda haki.