CHADEMA wote wameunga juhudi kwa staili tofauti

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi.

Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti.

Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima.

Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa Chadema Masalia wameona wabadili mtindo wa Kuunga JUHUDI, Sasa wanaunga JUHUDI wakiwa masafa marefu.

Tufunge mjadala wa usaliti Kwa kusema, Sasa hakuna msaliti Bali sote ni Walambaji Kwa namna tofauti na maisha yaendelee. Tuendelee kujilambia tu
 
Sukuma Gang kama vipi mfuateni mungu wenu aliyeko motoni sasa hivi au rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana
 
Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi.
Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti.

Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima.
Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa Chadema Masalia wameona wabadili mtindo wa Kuunga JUHUDI, Sasa wanaunga JUHUDI wakiwa masafa marefu.

Tufunge mjadala wa usaliti Kwa kusema, Sasa hakuna msaliti Bali sote ni Walambaji Kwa namna tofauti na maisha yaendelee. Tuendelee kujilambia tu
Linawaumeni sana hili, ni vile tu hamna namna ya kumshanbulia Mwenyekiti wenu, hivyo mnatafuna kumshambulia kupitia CHADEMA
 
Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi.
Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti.

Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima.
Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa Chadema Masalia wameona wabadili mtindo wa Kuunga JUHUDI, Sasa wanaunga JUHUDI wakiwa masafa marefu.

Tufunge mjadala wa usaliti Kwa kusema, Sasa hakuna msaliti Bali sote ni Walambaji Kwa namna tofauti na maisha yaendelee. Tuendelee kujilambia tu
Sukuma gang mnateseka sana, mbona mwaka huu sukari itapanda?
 
Ila chenga ya BAWACHA imewaumiza Sana , hamuamini macho yenu kwamba juzi hapa ilikuwa dhambi na kosa la jinai kuwa CHADEMA, leo Rais anahudhuria mkutano wa BAWACHA, kweli CHADEMA Ina strategist.
 
Back
Top Bottom