Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi.
Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti.
Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima.
Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa Chadema Masalia wameona wabadili mtindo wa Kuunga JUHUDI, Sasa wanaunga JUHUDI wakiwa masafa marefu.
Tufunge mjadala wa usaliti Kwa kusema, Sasa hakuna msaliti Bali sote ni Walambaji Kwa namna tofauti na maisha yaendelee. Tuendelee kujilambia tu