Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mtakuja Kunishukuru sana !!.
Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi.
Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin.
Kwa wanaoona Mbali kama Mimi watakubaliana na Athari kubwa mbili Kwa pande zote mbili za CCM na CHADEMA.
1-CHADEMA , Hamasa , Ari na nguvu mpya itazidi kuamka miongoni wa Wanachadema na hivo kuongeza uzalendo juu ya Chama Chao , Huu Uzalendo Kwa chama utaambukizwa Kwa wananchi na Chama kitazidi kuimarika mara dufu.
2-CCM Wafuasi wa CCM watakua Demoralized, Kwa kua kisaikolojia watakua wameathirika pakubwa na Utabiri Huu, hivo Hamasa ,nguvu kwao vitapungua , na hali hii italazamisha Wana CCM hawa na Wananchi huru kuhamia CHADEMA .
Wakati CCM wanatumia NGOs zao kuja na utafiti Et CCM itashinda Kwa 83% lengo lao Huwa ni Hilo , kushusha Hamasa ya Wanachadema , na kuwakatisha Moyo wananchi wasihangaike kupiga kura ili Wana CCM wenyewe ndio wapige kura na michezo michafu ifanyike, wakiwan tayari na faida ya Kuipumbaza Jamii kupitia Utafiti Uchwara.
Sasa Mapambano yaanze, yaan huko Mitandaoni Kuanzishwe Ma Polls ya kutosha ,"Piga kura yako ,nani atashinda Uchaguzi 2025 kati ya CCM na CHADEMA"..
Wakati huohuo mnasambaza Utabiri wa Sheikh Yahya kupitia kila nyenzo mlonayo.
Alafu mpige SPANA za uhakika, jikiteni kwenye Maisha halisi , umasikin, Ukosefu wa Ajira, watu kutekwa na kuuwawa, Miradi kuhujumiwa ( Kwa mfano Mradi wa SGR , Huu usipondwe badala yake mseme "Chama Cha CCM kwakua Mafisadi wake wote Wana miliki Ma BUS wamekua wanauhujumu mradi Huu wa JPM Kwa kuhakikisha Umeme sio wa uhakika , na kuweka Nauli kubwa ili Masikin na mnyonge asipande, akapande Ma BUS yao, sisi tukishika Nchi hii tutaweka Nauli ambayo Kila mnyonge atapanda .
JPM Baba wa watu alijenga JNHEPP lengo Umeme ushuke Bei na usikatike, je Leo Umeme mnaunganishiwa shingapi?? Mnanunua shingapi? Haukatiki unakatika??.
Uchomaji wa masoko na majengo ,hii tunaiweka Kwa style ileile ya waliochoma Bank Kuu ,alafu kuthibitishia wananchi mnawaambia "Simnaona kabisa Reports zote za uchomaji hawaziweki hadharani ????mliwahi sikia wameziweka hadharani???
Watumishi walotumbuliwa kurudishwa makazini, Ahadi hewa za nyongeza ya mshahara.
Mambo ni mengi sana ambayo Kitengo mkiyatumia yatawavusha !!
Yaan kwenye Spana hapa ni mwendo wa kuchanganya UKWELI na UWONGO na wakati huohuo mnaufanya unakua Mkubwaa sana Ili uaminike .
CCM Kwa Sasa Haina Wajibu hoja wenye ushawishi!! Watajitokeza wanaojibu lkn kwakua hawana ushawishi na wameshadharauliwa ,hawawezi kuaminika.
CHADEMA Kitengo cha Propaganda anzeni kazi mpaka kufikia October wananchi wengi watakua tayari wako manipulated !!.