Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Sisi tuko huku ground na mitandaoni hali ilivyo huku mitandaoni ni tofaut kabisa na half iliyoko mitaani... Upinzani kuchukua nchi wanahitaji more than 10 years kujiimarisha kwa kuweka Sera nzuri kwa wapiga kura wa mitaani sio wa mitandaoni... Ccm Ni lidude fulani hivi likubwa huwez ukaliondoa kwa tabiri za shekh yahyaSidhani kama ni kweli zaidi ya 80% ya watanzania wakiwemo wale wa fuasi wa ccm wanahitaji mabadiliko, ila wana wasi wasi na ni nani wakuwaletee hayo mabadiliko bila kutafuta masirahi yake binafsi
CCM anakura zake ambazo ndizo za kuvuruga kwanza .
Wanawake , wanaoishi Vijijin ambao Kwa ujumla wake ninwatu wenye Elimu Duni kabisa