CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

Status
Not open for further replies.

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
 
Alisema jiwe na wasira leo hii mmoja keshalamba udongo mwingine anasinzia kutwa kuchwa bado kdg tu atasindikizwa lakini chadema ipogo tu!

Wishful thinking...
 
la kishindo kikubwa kabisa 🤣 🤣
 
Nyie machawa tafuteni kazi muda wenu umeisha

CDM ilikufa enzi za huyu pimbi mwenzenu mbowe
Ila mwamba LISSU Akaifufua upya
Hatufanyi siasa tena tupo ki harakati zaidi..

Pimbi wee chawa la lumumba street!
 
Alisema jiwe na wasira leo hii mmoja keshalamba udongo mwingine anasinzia kutwa kuchwa bado kdg tu atasindikizwa lakini chadema ipogo tu!

Wishful thinking...
hata NCCR bado ipo 🤣🤣
 
Nyie machawa tafuteni kazi muda wenu umeisha

CDM ilikufa enzi za huyu pimbi mwenzenu mbowe
Ila mwamba LISSU Akaifufua upya
Hatufanyi siasa tena tupo ki harakati zaidi..

Pimbi wee chawa la lumumba street!
ashatolewa uenyekiti mda mrefu
 
Nyani Ngabu
Wajua nyani haoni kundule? Na siku akibahatika kuliona ndio mauti yake!
Huko ccm unakodhani kupo salama kunawaka moto siyo wa kitoto kwani hajulikani atakayekabidhiwa kiti Hadi Sasa na hawataki kumsikia mtu aitwaye kikwete.
Jiandae tu kumlaki Kinana, Mangula na Makamba Kama washauri na wasuka ccm mpya. Pesa za Abdul na waarabu zimekwisha Sasa tafuteni chimbo linguine la kuuliwa winga!
 
au sio 🤣
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…