Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wewe ushapigwa x, endelea kutafuta airtimewa kuandika nyuzi labda
Wewe ushapigwa x, endelea kutafuta airtimewa kuandika nyuzi labda
Wajinga ndio waliwao,chadema tuliwaambia tangu mwanzo kuwa mwenendo wao sio mzuri.wakashupaza shingo, wakati huu Lissu anaona bora awe jela ili isionekane ameshindwa kuikuza chademana juzi wamechangisha tena
Wewe mjinga uliyekwama hapo Kyela unaitukana tu serikali miaka yote.Mimi mwenyewe nitakushikisha adabuWewe ushapigwa x, endelea kutafuta airtime
Nani kakwambia tunaogopa?Huenda uko sahihi mkuu.
Lakini kama CCM iko imara kwanini inaogopa kuweka fair ground wakachuana kwenye sanduku la kura?
Sihitaji kuambiwa nina akili timamu kwahiyo naona yote yanayofanyika.Nani kakwambia tunaogopa?
Wewe ushapigwa x, endelea kutafuta airtime
Mkuu tufanye mnapendwa na watanzania kwa 98%, kwanini kila siku mnajielezea kama machinga?walisema wenyewe hawashiriki mbna mnatutupia lawama?
List mpya zakutoka lumumba stashionali chini ya uvccm mapimbi wale machawa nimeiona kweli..uko nyuma ya mda sana, hujaona list mpya ya viongozi wa chadema
List mpya zakutoka lumumba stashionali chini ya uvccm mapimbi wale machawa nimeiona kweli..
kwahiyo m/kiti mmemchagua nani?
Utashiriki vip pambano na unajua mazingira yaliyowekwa huwezi shinda?walisema wenyewe hawashiriki mbna mnatutupia lawama?
Yaani wewe pamoja na kuwashikia mtutu CHADEMA kwa miaka yote, pamoja na kufunga vuongozi wao lakini hata leo mwenyekiti wa tawi tu akiitisha mkutano watu watajitokeza wengi kuliko hata mkutano wa mwigulu nadhani unaona mnavyo pata tabu huko mnako zunguka mwiguluPicha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
View attachment 3524545
Kwa akili zenu mnaona ni msaada na ndo mana mnamsujudia eti atawakomboa! Labda sio MarekaniAmewapa vidonge vya ngoma miaka 30 halafu unasema hana misaada