CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

Status
Not open for further replies.
la kishindo kikubwa kabisa 🤣 🤣
Badala ya who are you Sasa anzeni kuandika bring back Maduro akusikieni Trump! Hakuna moto mtaacha kuuona na hivi anawatwanga Boko Haram Kama anaua nzige hapa kwenu mtajificha baharini nawaambia!
 
Badala ya who are you Sasa anzeni kuandika bring back Maduro akusikieni Trump! Hakuna moto mtaacha kuuona na hivi anawatwanga Boko Haram Kama anaua nzige hapa kwenu mtajificha baharini nawaambia!
sasa inahusiana vp na tz?
 
umaskini mbaya sana
Kweli kabisa ndio maana unapamnania buku 7 ambazo hazikidhi hata mlo wa siku! Lakini ndio majaaliwa yako hayo Hadi kuamua kuwa nzi na chawa ilihali una elimu nzuri tu kuliko kibajaji, musukuma na Wanu! Pole.
 
Huwezi kuwa gaidi ukafaulu,Gaidi Lissu anasota rumande, ni mtu mjinga,Heche mwenzao mjanja sana anakula maisha kaishajikusnyia mali za kutosha
na juzi wamechangisha tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…