johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maadam Uzi umeachwa basi bila shaka lazima tuujadili , ni hivi , waambie Malasusa na Pengo wakate rufaaNaona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hahahaaaa..... !... Christian Council of Tanzana; mkutano wao mkuu ulifanyika Morogoro wiki iliyoisha na kuhudhuriwa na Mh. Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
Rufaq ndio nini bwashee?Maadam Uzi umeachwa basi bila shaka lazima tuujadili , ni hivi , waambie Malasusa na Pengo wakate rufaa
okay, kashinda nani?... Christian Council of Tanzana; mkutano wao mkuu ulifanyika Morogoro wiki iliyoisha na kuhudhuriwa na Mh. Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
Kama ulivyozibuliwa wewe?!!Mleta mada CHADEMA inakunyima kujamba?
Njoo uzibuliwe..!!
Hii tabia inatakiwa ipigwe marufuku kabisa. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila sehemu ni siasa. Najua Chadema wanaiga kwa CCM tu ila siyo kitu cha kuendekeza hiki.Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
... wewe jamaa sometimes! Hilo la Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhudhuria mkutano wa kidini na kutoa hotuba iliyorushwa live duniani kote hujaliona ila umeona Chadema ikijipenyeza tena kwa hisia zako tu! Unafiki kitu kibaya sana.Hahahaaaa..... !
Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!... wewe jamaa sometimes! Hilo la Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhudhuria mkutano wa kidini na kutoa hotuba iliyorushwa live duniani kote hujaliona ila umeona Chadema ikijipenyeza tena kwa hisia zako tu! Unafiki kitu kibaya sana.
... unatenganishaje vyeo hivyo viwili? Ni wakati gani anakuwa Rais na wakati gani ni Mwenyekiti wa CCM?Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
... wakati mwingine ana mambo ya ajabu sana. Unafiki umemjaa haswa.Wewe jamaa ni mchochezi kama wahariri wa musiba.
Inategemea amealikwa wapi, na nani, kufanya nini?... unatenganishaje vyeo hivyo viwili? Ni wakati gani anakuwa Rais na wakati gani ni Mwenyekiti wa CCM?
Bwashee nilikuona Kariakoo jana usiku unatokomea na " sandarusi"Wewe jamaa ni mchochezi kama wahariri wa musiba.
... kwa hiyo uenyekiti wa CCM aliuacha ofisini? At that moment akiwa pale kwenye mkutano wa CCT ungeulizwa mwenyekiti wa CCM taifa ni nani jibu lingekuwa nini?Inategemea amealikwa wapi, na nani, kufanya nini?
CCT walimualika Rais wa JMT!
Yohana ulipotea kwa muda hapa jukwaani, chama kilikupeleka Kivukoni kuongeza ujuzi katika mambo ya propaganda nini?Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!