CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naona CHADEMA wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye Taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata Vyuo Vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa Haki na Amani.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
kati ya ccm na cdm nani kafinikiwa kumchomekewa mwenzake ma snitch?
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Maadam Uzi umeachwa basi bila shaka lazima tuujadili , ni hivi , waambie Malasusa na Pengo wakate rufaa
 
... Christian Council of Tanzana; mkutano wao mkuu ulifanyika Morogoro wiki iliyoisha na kuhudhuriwa na Mh. Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
okay, kashinda nani?
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hii tabia inatakiwa ipigwe marufuku kabisa. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila sehemu ni siasa. Najua Chadema wanaiga kwa CCM tu ila siyo kitu cha kuendekeza hiki.
 
... wewe jamaa sometimes! Hilo la Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhudhuria mkutano wa kidini na kutoa hotuba iliyorushwa live duniani kote hujaliona ila umeona Chadema ikijipenyeza tena kwa hisia zako tu! Unafiki kitu kibaya sana.
Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
 
... unatenganishaje vyeo hivyo viwili? Ni wakati gani anakuwa Rais na wakati gani ni Mwenyekiti wa CCM?
Inategemea amealikwa wapi, na nani, kufanya nini?

CCT walimualika Rais wa JMT!
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yohana ulipotea kwa muda hapa jukwaani, chama kilikupeleka Kivukoni kuongeza ujuzi katika mambo ya propaganda nini?
 
Back
Top Bottom