Mtanyooka tuWatz wapi? Kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura tumeona idadi, au mna watanzania wenu sisi tusiowajua? Ingekuwa mnategemea kura za watanzania tusingeona hilo box la kura likinajisiwa.
Tunga mwenyewe!Tunga sentensi kuhusu picha hii ya octoba 2015 Masaki Jijini Dar es salaam
View attachment 1394175
Unasema Tume Huru TZ..... Kuna mtanzania yuko maporini uko , hajui Tume Huru TZ ni ninn....
Kuna mwingine Tume anaijua, lkn hajui umuhimu wowote wa Tume , kwake Tume ni Tume .
Ivi unategemea vimaneno "Tume huru TZ" vinaweza amsha Hari kiasi kwamba kukawepo na vuguvugu kwenye jamii??????
Watu wanataka waonyeshwe, yaan nikm unamchorea picha Kiziwi, nikm kumpigia nyimbo tamu Kipofu...kila mmoja ajue .
Yaan hata Mimi, Unipe kalamu yako iloandikwa "Tume Huru TZ"... Utegemee nipambane na CCMDOLA kisa uto tumaneno?????
Mtasubiri sana!!!!.... Namuona Zitto akichukua majukumu ya CHADEMA ya Zamani , tena yeye anayavaa wakati mgumu na mwisho wasiku ndiye ataonekana mwenye chama chake kikuu cha upinzani TZ.
Ninaomba uwe partner wangu katika dansi la CCM kuwa chama cha upinzani.Mnapoteza pesa bure! Watz hawana mpango na nyinyi wameshawachoka na uongo wenu!
Kwi! Kwi! Kwi!Tunga mwenyewe!
Chadema mbona mnataka kumsababishia hypertension mwenyekiti wetu hapa Lumumba St jamani??!!
Hapa sasa sawa!
Hata mimi nawaunga mkono, tumieni rudhuku na michango ya wanachama kwa mbinu za kisasa, cyo kuandamana, kuitisha mikutano isiyo halali, na kutukana serikari au kufanya vurugu ktk majeshi.
Nawaunga mkono chadema kwa mbinu hizi100%.
Siasa safi ndio hizi.
Hiyo tenda kapewa nani?View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Mtanyooka tu
Hiyo tenda kapewa nani?
Si dhani kama zitamaliza wiki bila kupigwa marufuku kwa kisingizio cha uchochezi.View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Hamna lolote hii ni biashara tu.View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Hebu tufafanuliwe huo muundo wa tume huru...fafanueni kuhusu composition yake ...na uteuzi wa tume hiyo inayoitwa huru...pia mfafanue kwanini tume ya Sasa mnaona siyo huru...haitoshi tu kusema tume huru ...fafanua zaidi ili watu waelewe....Haya majambazi ya CCM yasivo kuwa na akili yanaweza sema hizi kalamu ni "UCHOCHEZI"!!
Magufuli na CCM yake lazima ajue hitaji la TUME HURU YA UCHAGUZI Ni kwa kila Mtz Mzalendo anayependa Amani ya nji yetu..!!!
Tume huru ya kitu gani