CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

Watz wapi? Kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura tumeona idadi, au mna watanzania wenu sisi tusiowajua? Ingekuwa mnategemea kura za watanzania tusingeona hilo box la kura likinajisiwa.
Mtanyooka tu
 
Unasema Tume Huru TZ..... Kuna mtanzania yuko maporini uko , hajui Tume Huru TZ ni ninn....


Kuna mwingine Tume anaijua, lkn hajui umuhimu wowote wa Tume , kwake Tume ni Tume .


Ivi unategemea vimaneno "Tume huru TZ" vinaweza amsha Hari kiasi kwamba kukawepo na vuguvugu kwenye jamii??????

Watu wanataka waonyeshwe, yaan nikm unamchorea picha Kiziwi, nikm kumpigia nyimbo tamu Kipofu...kila mmoja ajue .


Yaan hata Mimi, Unipe kalamu yako iloandikwa "Tume Huru TZ"... Utegemee nipambane na CCMDOLA kisa uto tumaneno?????


Mtasubiri sana!!!!.... Namuona Zitto akichukua majukumu ya CHADEMA ya Zamani , tena yeye anayavaa wakati mgumu na mwisho wasiku ndiye ataonekana mwenye chama chake kikuu cha upinzani TZ.

Huwa ninacheka sana nikisikia mtu anasema watu wa huko vijijini, kimsingi watu wa huko vijijini huwa wanaburuzwa na watu wa mjini. Kwa kawaida watu wa mjini ndio huanzisha vuguvugu lolote na watu wa huko vijijini ni bendera fuata upepo tu. Mfano mrahisi watu wa huko vijijini hawana umeme, barabara nzuri, vituo vya afya nk, umewahi kuona wanalalamika? Jaribu kukata umeme hapa mjini, barabara iwe mbovu usikie hizo kelele. Na hata viongozi huwa wanaogopa kelele za watu wa mijini na siasa hao wengi waliokubaliana na kila kitu.
 
Rushwa hiyo kuelekea uchaguzi mkuu. Haya wenzenu wakianza nao kuchapisha tisheti na kanga msipige kelele. Hiyo tume huru mmeijua leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa sawa!
Hata mimi nawaunga mkono, tumieni rudhuku na michango ya wanachama kwa mbinu za kisasa, cyo kuandamana, kuitisha mikutano isiyo halali, na kutukana serikari au kufanya vurugu ktk majeshi.

Nawaunga mkono chadema kwa mbinu hizi100%.
Siasa safi ndio hizi.

Acha kutetea ukabila wewe...!
Yaani kwa vile JIWE ni homeboy wako unatetea ujinga hapa...!!!
CHADEMA wako vizuri na wako sahihi kwa kila kitu..!! Kuanzia mikutano yote na maandamano yote Ni HAKI YAO KIKATIBA!!! Tuacheni kutetea upuuzi wa Magufuli wa kuvunjwa Katiba kwa Kuzuia mikutano ya Wapinzani na KUPIGA marufuku maandamano kwa hofu ya kuigopa CHADEMA...!

HUWEZI KUSHINDANA UWANJANI HUKU WENZAKO UMEWAFUNGA MIKONO...….!!!HIYO Ni dalili ya kwanza kabisa kwa jitu joga lenye hofu!!!
 
Haya majambazi ya CCM yasivo kuwa na akili yanaweza sema hizi kalamu ni "UCHOCHEZI"!!
Magufuli na CCM yake lazima ajue hitaji la TUME HURU YA UCHAGUZI Ni kwa kila Mtz Mzalendo anayependa Amani ya nji yetu..!!!
Hebu tufafanuliwe huo muundo wa tume huru...fafanueni kuhusu composition yake ...na uteuzi wa tume hiyo inayoitwa huru...pia mfafanue kwanini tume ya Sasa mnaona siyo huru...haitoshi tu kusema tume huru ...fafanua zaidi ili watu waelewe....
 
Tume Huru ya Uchaguzi ndiyo silaha pekee tuliyosalia nayo Wanyonge, wkati ni huu wa kuitumia.
 
Back
Top Bottom