Ni bure tu kamanda
😆😆😆😆 MASANJA ONE ulimola ?Neno sahihi ni ruzuku, na sio rudhuku, hakuna neno serikari, bali serikali.
tatizo kubwa lipo zaidi ndani ya chama chetu (CCM) ambacho kwa sasa kinahemea ndani ya mbeleko ya mapolisi.
mbeleko ikichanika tu, CCM yetu kwishnei kama ilivyokuwa kwa KANU (Kenya) na/au UNIP (Zambia)!!
Mikutano siyo issue...ni sheria ipi inasema muda wote uwe wa mikutano ya kisiasa...sheria ya uchaguzi haisemi hivyo...Wala katiba haisemi hivyo..kukusanyika kunaruhusiwa isipokuwa kusipingane na sheria zilizopo...JPM hajavunja sheria yoyote katika hili...people have to work na siyo kuandamana Kila siku...miezi mitstu kabla ya uchaguzi mikutano itaruhusiwa...Kamwulize Babu yako Magufuli KWANINI hataki CHADEMA na Wapinzani wote kufanya mikutano ya kuwaelimisha Watz maana na umuhimu wa TUME HURU YA UCHAGUZI...!
Hapo ndipo penye TATIZO LILIPO wala SIYO CHADEMA wala Upinzani.... .!!!
Hilo bichwa halina huo ubavu. Weredi na maguvu havina uhusiano kabisa.Jiwe atazipiga marufuku!!
Wewe nawe kabadilishe pampasi za bibi yako. Ndiyo kazi unayoimudu. Huku unahemea tu kwa akili zako kiduchu.Mikutano siyo issue...ni sheria ipi inasema muda wote uwe wa mikutano ya kisiasa...sheria ya uchaguzi haisemi hivyo...Wala katiba haisemi hivyo..kukusanyika kunaruhusiwa isipokuwa kusipingane na sheria zilizopo...JPM hajavunja sheria yoyote katika hili...people have to work na siyo kuandamana Kila siku...miezi mitstu kabla ya uchaguzi mikutano itaruhusiwa...
Hamuwezi kukabidhiwa dola kwa matusi...Wewe nawe kabadilishe pampasi za bibi yako. Ndiyo kazi unayoimudu. Huku unahemea tu kwa akili zako kiduchu.
Kama ambavyo chadema itasubiri sana tume ambayo mnasema huru.Kwa viongozi duni kama Polepole ccm itaendelea kusubiri sana kwa Chadema
Kwa kukosa jibu la ninachokihitaji, inaonyesha CHADEMA hawajajipanga.Ukishajua what next inakusaidia Nini wewe?
Budget ya peni moja tsh 20000 hao ndio CHADEMA na fursa zaoView attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Mungu wabariki WazunguSasa tumeona matunda ya ziara za ulaya, hiyo ni kwa hisani ya mabeberu.
Shule niende kusomea ujingaHueleweki....!!!!
Rudi shule ukafundishwe jinsi ya kujieleza....!!!
Shule niende kusomea ujinga
Kwa kukosa jibu la ninachokihitaji, inaonyesha CHADEMA hawajajipanga.
Kichwa cha habari ilipaswa kisomeke hivi "MCHAGA KAPIGA PESA HAPA"View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
labda wa Taifa QueensUnajua Chadema haihangaiki na mtu duni kama Polepole , Chadema inaangalia mustakhabari wa Taifa