CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

tatizo kubwa lipo zaidi ndani ya chama chetu (CCM) ambacho kwa sasa kinahemea ndani ya mbeleko ya mapolisi.

mbeleko ikichanika tu, CCM yetu kwishnei kama ilivyokuwa kwa KANU (Kenya) na/au UNIP (Zambia)!!
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Kamwulize Babu yako Magufuli KWANINI hataki CHADEMA na Wapinzani wote kufanya mikutano ya kuwaelimisha Watz maana na umuhimu wa TUME HURU YA UCHAGUZI...!
Hapo ndipo penye TATIZO LILIPO wala SIYO CHADEMA wala Upinzani.... .!!!
Mikutano siyo issue...ni sheria ipi inasema muda wote uwe wa mikutano ya kisiasa...sheria ya uchaguzi haisemi hivyo...Wala katiba haisemi hivyo..kukusanyika kunaruhusiwa isipokuwa kusipingane na sheria zilizopo...JPM hajavunja sheria yoyote katika hili...people have to work na siyo kuandamana Kila siku...miezi mitstu kabla ya uchaguzi mikutano itaruhusiwa...
 
Wewe nawe kabadilishe pampasi za bibi yako. Ndiyo kazi unayoimudu. Huku unahemea tu kwa akili zako kiduchu.
 
Sasa tumeona matunda ya ziara za ulaya, hiyo ni kwa hisani ya mabeberu.
 
Ila tukisema labda mtachukia, hii ni poor strategy aliyebuni amakula hela tu. Pen watu watachukua hata hao maccm na cuf watakuwa wanatumia ila mioyo iko wapi?
1. Nendeni mguse mioyo
2. Mchakato wa Tume huru utachukua muda gani? Eleweni hadi corona iwe clear itakuwa june,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom