Ni fursa nyingine ya upigajiView attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Je hiyo ni biashara mkuu??
Na kama ni biashara zinapatikana wapi??
Hahaha haaaa
Mengi yapi ndugu yangu...unadhani Kila mtu aliiona au kelewa hiyo mifano?? Wananchi na hasa huko vijijini pengine wanataka waelimishwe kuhusu hiyo time huru mnayodai halafu nyie mnawaambia kasomeni ile ya warioba....Tumekwishafanya mengi na tumeweka mifano mingi mno kuhusu uozo wa Tume iliyopo na tunashukuru kwamba karibu kila mwananchi ameelewa , kuhusu muundo wa Tume huru rejea Katiba ya Warioba
Sisi tusioruhusiwa kufungamana na vyama vya siasa mnatutenga sasa mkuu!View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Thread ilianza vema, hapa umechafua mkuu. CHADEMA haina vision ya kitaifa zaidi uchagani na kidogo soweto ya mbeya. Utasemaje mustakabal wa taifa.Unajua Chadema haihangaiki na mtu duni kama Polepole , Chadema inaangalia mustakhabari wa Taifa
Hakuna iliyopo inatosha! Suseni sisi tuendelee!!Tunataka TUME HURU YA UCHAGUZI.
Sent using Self-propelled Artillery
Tume ya Warioba ilifika vijiji vyote hivyo , wewe uko kijiji gani ?Mengi yapi ndugu yangu...unadhani Kila mtu aliiona au kelewa hiyo mifano?? Wananchi na hasa huko vijijini pengine wanataka waelimishwe kuhusu hiyo time huru mnayodai halafu nyie mnawaambia kasomeni ile ya warioba....
Kama Hilo ndilo jibu kwa wapiga kura vijijini then tunawatakia Kila la heri kwa kuitafuta hiyo tume huru..Tume ya Warioba ilifika vijiji vyote hivyo , wewe uko kijiji gani ?
Sasa kama ukweli huutaki tukusaidieje ?Kama Hilo ndilo jibu kwa wapiga kura vijijini then tunawatakia Kila la heri kwa kuitafuta hiyo tume huru..
hana ubavu huo.Jiwe atazipiga marufuku!!
This what we call strategy formulationView attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
hapa sasa kazi kwa kiwanda kilichochapisha hakika itafungwa ila hii move nimeipendaView attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Sihitaji kusaidiwa na nyie.,.Sana Sana Mimi nawahurumia tu mnavyopata taabu na hicho kinachoitwa tume huru...yaani ni wazi inaelekea hamna strategies kabisa namna ya kufikisha ujumbe kwa wananchi...yaani mwananchi anawauliza mfafanue eti jibu lenu ni Tume ya warioba ambayo eti ilipita Kila Kijiji...you guys you are not serious at all...mmesikia kwa mabeberu kuhusu Tume huru na nyie mnaimba hivyo hivyo...mwanachi anawauliza more details nyie mnajibu kwa kejeli eti wewe mwanachi unatoka Kijiji gani.,yaani hamna hata diplomacy ...hoja zenu ni za kibabe kibabe...yaani happy jf ilikuwa nafasi ya nyie kutiririka kuhusu details za kinachoitwa na siyo kujibu kwa kejeli kuwa Tume ya Warioba ilifafanua Kila kitu na ambayo ni ya miaka karibu nane iliyopita....nyie ndugu zetu hamna approach nzuri kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake...mnatanguliza uanaharakati zaidi...hamtaki kuelimisha wananchi...mnadhani nyie mnaelewa zaidi kuliko wananchi wengine...wote wasiokubaliana nanyi mnawaona ni hopeless kabisa na kwamba hawajui kitu...lakini ndani ya upjnzani Kuna baadhi wanna uelewa mzuri ila nadhsni wanazidiwa na wanaharakati...yaani unawaona kiongozi wanakwenda gerezani kutaka kufungua gate kwa nguvu. utadhani ni zile movie za prison break...wanaumizwa halafu wanasema wanaonewa...dah...hivi chama hiki kikubwa Cha upjnzani nchini mwetu kwa Sasa ni mbadala kweli wa CCM...No way...hamuwexi kukabidhiwa dola kwa tabia hi...come 2020 general elections, and all things being equal, Hilo li- CCM...litashinda kwa zaidi ya asilimia 90...wabunge wa upjnzani kwa Bara watakaoshinda hawatazidi kumi.,Sasa kama ukweli huutaki tukusaidieje ?
πππhapa sasa kazi kwa kiwanda kilichochapisha hakika itafungwa ila hii move nimeipenda