CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema
Ni fursa nyingine ya upigaji
Ni kama wakati ule mlipo chapisha fulana za mabadiliko na ukuta
Mask inatakiwa ivaliwe kwa masaa manne tu itupwe,kwa hiyo tume inadaiwa kwa masaa manne tu
Peni inatumia wastani wa wiki mbili kuisha wino,inatupwa
Chadema ni wezi tu,hamjawahi kuwa serious
 
Ccm na serikali hawawezi kukubali kuwe na tume huru ya uchaguzi piga ua! Walishinda kwa 58% na bao lao la mkono alafu leo wajitie bisu hivihivi... Tume ikiwa huru upinzani kutafurika maana itaaminika sasa ushindi unawezekana upande wowote!!
Watumishi hasa walimu wetu washaambiwa wazi wakigundulika ni upinzani wasahau shavu la kusimamia uchaguzi sasahivi wanalazimishiwa kadi kwa bukujero taarifa tunazo wanavyotishwa. Wapinzani waungane kupambania lkn ni shughuli kwelikweli sio kwa kutoa kalamu inahitaji movement haswa na muda wamechelewa sana
 
kwa nini tunataka kufanya mambo mazuri kwa kukurupuka?!
kupata tume huru ni mchakato unao hitaji utulivu na umakaini na muda pia......sasa kweli ktk kipindi cha miezi 4 iloyo baki tutapata tume huru kweli au tutadanganyana tu si bora tuendelee na tume tuliyo nayo, kisha bada ya hapo tuanze mchakato wa kupata tume huru na hakika tutapata kitu bora zaidi kuliko hivi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekwishafanya mengi na tumeweka mifano mingi mno kuhusu uozo wa Tume iliyopo na tunashukuru kwamba karibu kila mwananchi ameelewa , kuhusu muundo wa Tume huru rejea Katiba ya Warioba
Mengi yapi ndugu yangu...unadhani Kila mtu aliiona au kelewa hiyo mifano?? Wananchi na hasa huko vijijini pengine wanataka waelimishwe kuhusu hiyo time huru mnayodai halafu nyie mnawaambia kasomeni ile ya warioba....
 
Unajua Chadema haihangaiki na mtu duni kama Polepole , Chadema inaangalia mustakhabari wa Taifa
Thread ilianza vema, hapa umechafua mkuu. CHADEMA haina vision ya kitaifa zaidi uchagani na kidogo soweto ya mbeya. Utasemaje mustakabal wa taifa.
 
Mengi yapi ndugu yangu...unadhani Kila mtu aliiona au kelewa hiyo mifano?? Wananchi na hasa huko vijijini pengine wanataka waelimishwe kuhusu hiyo time huru mnayodai halafu nyie mnawaambia kasomeni ile ya warioba....
Tume ya Warioba ilifika vijiji vyote hivyo , wewe uko kijiji gani ?
 
Sasa kama ukweli huutaki tukusaidieje ?
Sihitaji kusaidiwa na nyie.,.Sana Sana Mimi nawahurumia tu mnavyopata taabu na hicho kinachoitwa tume huru...yaani ni wazi inaelekea hamna strategies kabisa namna ya kufikisha ujumbe kwa wananchi...yaani mwananchi anawauliza mfafanue eti jibu lenu ni Tume ya warioba ambayo eti ilipita Kila Kijiji...you guys you are not serious at all...mmesikia kwa mabeberu kuhusu Tume huru na nyie mnaimba hivyo hivyo...mwanachi anawauliza more details nyie mnajibu kwa kejeli eti wewe mwanachi unatoka Kijiji gani.,yaani hamna hata diplomacy ...hoja zenu ni za kibabe kibabe...yaani happy jf ilikuwa nafasi ya nyie kutiririka kuhusu details za kinachoitwa na siyo kujibu kwa kejeli kuwa Tume ya Warioba ilifafanua Kila kitu na ambayo ni ya miaka karibu nane iliyopita....nyie ndugu zetu hamna approach nzuri kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake...mnatanguliza uanaharakati zaidi...hamtaki kuelimisha wananchi...mnadhani nyie mnaelewa zaidi kuliko wananchi wengine...wote wasiokubaliana nanyi mnawaona ni hopeless kabisa na kwamba hawajui kitu...lakini ndani ya upjnzani Kuna baadhi wanna uelewa mzuri ila nadhsni wanazidiwa na wanaharakati...yaani unawaona kiongozi wanakwenda gerezani kutaka kufungua gate kwa nguvu. utadhani ni zile movie za prison break...wanaumizwa halafu wanasema wanaonewa...dah...hivi chama hiki kikubwa Cha upjnzani nchini mwetu kwa Sasa ni mbadala kweli wa CCM...No way...hamuwexi kukabidhiwa dola kwa tabia hi...come 2020 general elections, and all things being equal, Hilo li- CCM...litashinda kwa zaidi ya asilimia 90...wabunge wa upjnzani kwa Bara watakaoshinda hawatazidi kumi.,
 
Back
Top Bottom