CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Usikose kesho saa nane mchana, wahi kuweka swali lako, litajibiwa.  @danielnafta ( 800 X 640 ).jpg

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
 
View attachment 1458772

Too late, treni imeshaandoka wakati mlipokuwa bize na kigogo..
 
Hawa wanataka kupiga hela waache zero kabisa kwenye akaunti
 
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
alafu ukiangalia picha ya uyo dogo alieshika maik kama vile ana move kuondoka chadema.anaelekea chama gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Nmefarijika kuona huyu kijana bado yupo CHADEMA, nlidhani alishaunga mkono juhudi.

Lile jimbo lake walimpora kibabe tu maana walipoona anaongoza wakafuta uchaguzi alafu ghafla wakatangaza CCM ameshinda!!

Ila naamini this time anaenda kulibeba asubuhi na mapema; tunahitaji vijana serious kama hawa ingawa sijui naye akiupata huo ubunge atageuka!!!

SMH!
 
Back
Top Bottom