Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #121
Kipindi kinarejeshwa tena hewani , kaa tayari .
media/tv gani for that matterKipindi kinarejeshwa tena hewani , kaa tayari .
uliuzwa weweBilioni 8 ziko wapi?
Daniel Naftal anashughulikia hilomedia/tv gani for that matter
Tunataka kujua na tuone invoice za matumizi ya operation hizi, na risiti za Efd za matumizi yote ya gharama za uendeshaji wa operation. Lengo tuone kama Kodi stahiki za serikali kama zinalipwa. Pia tuone kama matumizi halali ya ruzuku na michango ya kadi za wanachama wa Chadema na wafadhili wéngine kama yanatekelezwa.View attachment 1458772
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .
Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .
Mungu ibariki Chadema
NO HATE NO FEAR
Hoja yako ni nzuri lakini iko nje ya mada hii , bali unaweza kuifungulia uzi mwingine tutakuja hukohuko kufafanuaTunataka kujua na tuone invoice za matumizi ya operation hizi, na risiti za Efd za matumizi yote ya gharama za uendeshaji wa operation. Lengo tuone kama Kodi stahiki za serikali kama zinalipwa. Pia tuone kama matumizi halali ya ruzuku na michango ya kadi za wanachama wa Chadema na wafadhili wéngine kama yanatekelezwa.
===
Kurusha povu ruksa!
Ujumbe umefikaBadilisheni muda mchana uwe muda wa marudio ,pigeni kipindi usiku singofather na mother iwe faraja yetu pia
Ha ha haaaa! Nimependa sana upole wako kwenye hili. Kwa muktadha wa kuboresha muonekano wa Chadema, nashauri hoja hii ijibiwe popote/kwenye uzi wowote itakapoibuliwa.Hoja yako ni nzuri lakini iko nje ya mada hii , bali unaweza kuifungulia uzi mwingine tutakuja hukohuko kufafanua
Hongera chadema ni hatua nzuri, nashauri pia elimu hiyo na semina zingine wapewe viongozi wote wa chadema kuanzia mashinani ili kujenga chama Cha uelekeo na maono ya pamojaView attachment 1458772
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .
Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .
Mungu ibariki Chadema
NO HATE NO FEAR
Ukinyimwa shuka, ukapewa asubuhi utajifunika tu kama unayo akili nzuri,japo ni Kwa muda mfupi
AmenHHo
Hongera chadema ni hatua nzuri, nashauri pia elimu hiyo na semina zingine wapewe viongozi wote wa chadema kuanzia mashinani ili kujenga chama Cha uelekeo na maono ya pamoja
Si kila Mwanachadema anaweza kujibu hilo , haya yanamhusu Katibu Mkuu , ndio maana tunakuomba uanzishe uzi ili tumpigie Katibu Mkuu aje moja kwa moja na majibu kwenye uzi wakoHa ha haaaa! Nimependa sana upole wako kwenye hili. Kwa muktadha wa kuboresha muonekano wa Chadema, nashauri hoja hii ijibiwe popote/kwenye uzi wowote itakapoibuliwa.
Hii tasaidia sana kuimarisha taswira ya Chadema ya kuaminika mbele ya watanzania.
Karibu sana kwa majibu.
Nashukuru sana. Nimepe muda nikiukamilisha uzi nitakuita kwa "tag" ili uweze kumuita Katibu wa Chadema kama ulivyoahidi.Si kila Mwanachadema anaweza kujibu hilo , haya yanamhusu Katibu Mkuu , ndio maana tunakuomba uanzishe uzi ili tumpigie Katibu Mkuu aje moja kwa moja na majibu kwenye uzi wako
Akili ndogo anza kwanza na Tril.1.5 Alizoiba MAGUFULI na matril yaliyotajwa na CAGBilioni 8 ziko wapi?
Akijibu nistueAkili ndogo anza kwanza na Tril.1.5 Alizoiba MAGUFULI na matril yaliyotajwa na CAG
Kinaanza lini? TV vipi? Kuna mpango wa kuanzisha TV?Hatimaye imejulikana na kuanza kuogopwa
Swali lako litajibiwa hivi pundeKinaanza lini? TV vipi? Kuna mpango wa kuanzisha TV?