You deserve my silenceKumbuka, unapokuja hapa JF, usiwe na papara na kuparamia kujibu hoja usizoelewa vizuri.. Huu ni ushauri tu.
You deserve my silenceKumbuka, unapokuja hapa JF, usiwe na papara na kuparamia kujibu hoja usizoelewa vizuri.. Huu ni ushauri tu.
I'll take that as a realization of your mistake.You deserve my silence
ruhusuni mikutano sasa si corona imeisha ?
Bado tu unaimani chadema watachukua nchi?Tuliwaonya mapema sana , kwa aina ya viongozi ambao wako ccm ya awamu ya 5 , hawa wanaotegemea utekaji , kuwekeana sumu na polisi , chadema itawahenyesha mno !
Tena sasa hivi uhakika ni 90% , jiwe kaua kabisa ccm
Sasa matusi ya nn?Magu mnamlaum wa nn mkijua ccm ni taasisi?Hatuwezi kujadili upumbavu , Chadema ni Taasisi kwanini alaumiwe Mbowe kwa maagizo ya chama chakavu ? dunia yote imejua kwamba kuna clip mnatengeneza kwa ajili ya Mbowe , unajua nyie mliongia ccm kwa sababu ya ukabila haya hamuwezi kuyajua
Eti vipeperushi,polisi wa nchi hii wasivyo na kazi watavikusanya vyote na kuvichoma moto. [emoji38][emoji38][emoji38]Rafiki yangu Erythro, hatua hii ilibidi isubiri hadi sasa?
Basi sawa, maadam imeanza ngoja tutachambua.
Lakini siondoki bila kusuta (kwa nia njema)
Hata vipeperushi tu hamuwezi kuchapisha wananchi mitaani na vijijini wakajisomea?
Nyinyi lengo lenu ni mitandao? Hawa wa mitandao mnaotumia nguvu zote kuwafikia, hata kura hawapigi; huku wananchi wanaostahiri kabisa kujua mnayoyasimamia kama chama huko vijijini wakiwa hawana ufahamu mzuri juu yenu.
Anapopita CCM huko mitaani/vijijini, huku akiandamana na polisi, na huku akigawa kofia na fulana anazoa wananchi wote!
Nyinyi mnang'ang'ania mitandao!
Hata mkasirike na kusema mnazodolewa, huu udhaifu wenu ni faida kubwa sana kwa CCM.
Mtalazimika kujadili upumbavu muda utakapofika mkutanaoo na wapiga kura.Hatuwezi kujadili upumbavu , Chadema ni Taasisi kwanini alaumiwe Mbowe kwa maagizo ya chama chakavu ? dunia yote imejua kwamba kuna clip mnatengeneza kwa ajili ya Mbowe , unajua nyie mliongia ccm kwa sababu ya ukabila haya hamuwezi kuyajua
Mtalazimika kujadili upumbavu muda utakapofika mkutanaoo na wapiga kura.
Mikutano inasaidia nini? Hii ni awamu ya kazi siyo ya umbea. Kipindi cha mikutano ni kipindi cha kampeniruhusuni mikutano sasa si corona imeisha ?
Baada ya kukagua ccm1.5 trilioni hazijulikani zilipo by CAGBilioni 8 ziko wapi?
Ngoja nipoteze muda wangu ..., hao polisi wapo kwa kila raia hadi mifukoni kwao?Eti vipeperushi,polisi wa nchi hii wasivyo na kazi watavikusanya vyote na kuvichoma moto. [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using iphone pro max
Acheni wizi wa fedha za ummaMngekuwa chadomo mmeshika serikali naamini hata ofisi ya CAG isingekuwepo na BOT ingekuwa nyumbani kwa mbowe ili muibe fedha yote ya nchi kwa matirioni mengi. Pambafuuuu kabisa.
Naona umeasahau UKUTA.. sisi geshi la polishi hatushindwi kitu [emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]Ngoja nipoteze muda wangu ..., hao polisi wapo kwa kila raia hadi mifukoni kwao?
Hivi watu wengine akili huzificha wapi?
Unapoteza lengo tu...,Naona umeasahau UKUTA.. sisi geshi la polishi hatushindwi kitu [emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
Wote mnakaribishwaView attachment 1458772
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .
Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .
Mungu ibariki Chadema
NO HATE NO FEAR
Which language is that?!!!