CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Na utaratibu wa kuwapata "Wabunge wa Viti Maalum" kupitia ngono watauelezea?
 
Na wewe kwa akili yako watu kama Lissu, Heche, Lema, Mdee, Bulaya, Mnyika, Sugu etc waangalie tu Mbowe akitafuna 8 billion huku wao wamepiga kimya!? Una ufinyu wa akili mkubwa.
Mhuuu! Ndugu inaonyesha wewe ni mgeni Wa siasa za hivi vyama vikuu viwili!

Time will Tell!
 
Waje hapa TBC tutawapa airtime...kipindi kiturushwa kuanzia saa 8 usiku hadi saa 9 usiku.

Au bwana Makene unasemaje?

TBC kwa wote....

Sent using iphone pro max
 
Kwa msaada wa kuandika mtafute yule ajuza wenu hapo koridon lumumba
Chadema inatakiwa kuwafutilia mbali hawa vijana ambao wanalipwa na mwenyekiti mbowe kwa ajiri ya kumsifia tuu humu mitandaoni kiasi kumfanya bwana mbowe kuonekana anakubarika saaaana uko mtaani kumbe umaarufu unaishia tuu humu Jf uko mtaani watu awataki hata kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ingekuwa bora kama wangejikita kwenye sera zinazoelezea wanakoelekea zaidi kuliko walikotoka. Na ingependeza kama wangemiliki tv station yao wenyewe ingewasaidia katika kupanua wigo wa kuwafikia watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Wakora tu hawa ,miaka 25 hamjajulikana ?,mwanya wa kupiga ruzuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki yangu Erythro, hatua hii ilibidi isubiri hadi sasa?

Basi sawa, maadam imeanza ngoja tutachambua.

Lakini siondoki bila kusuta (kwa nia njema)

Hata vipeperushi tu hamuwezi kuchapisha wananchi mitaani na vijijini wakajisomea?

Nyinyi lengo lenu ni mitandao? Hawa wa mitandao mnaotumia nguvu zote kuwafikia, hata kura hawapigi; huku wananchi wanaostahiri kabisa kujua mnayoyasimamia kama chama huko vijijini wakiwa hawana ufahamu mzuri juu yenu.

Anapopita CCM huko mitaani/vijijini, huku akiandamana na polisi, na huku akigawa kofia na fulana anazoa wananchi wote!

Nyinyi mnang'ang'ania mitandao!

Hata mkasirike na kusema mnazodolewa, huu udhaifu wenu ni faida kubwa sana kwa CCM.
Haya tunayofanya ni nyongeza ndogo sana mkuu , Chadema iko mpaka ngazi ya msingi nchi nzima na shughuli za chama zinaendelea
 
Lumumba tumbo joto, Sasa wanaona kupambana na MBOWE haisaii, wanajiuliza makamanda wako wengi mno wametapakaa nchi nzima watawalizaje?! Wamenunua wabunge, madiwani, nk lakini bado ngoma nzito, na Sasa ikichaa ushawaingia kama inavyoonyesha katika picha hapo chini
IMG_20200525_101139.jpg


Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Lakini ccm wasiwa underrate Sana chadema pamoja na misukosuko inayoendelea ndani ya chama chao...this is politics naninavoona bado wanawapiga kura wengi tu Kuna watu hasa kundi la vijana Fulani ambao hawapo tayari kuunga mkono ccm as a party hata ifanye nn, Kuna wale ambao wanatamani tu kuwe na mabadiliko ya chama..so ccm wasiwa dharau Sana Hawa jamaa maana hazina ni wapiga kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom