Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
USHAURI WA BUREView attachment 1458772
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .
Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .
Mungu ibariki Chadema
NO HATE NO FEAR
Hatuwezi kujadili upumbavu , Chadema ni Taasisi kwanini alaumiwe Mbowe kwa maagizo ya chama chakavu ? dunia yote imejua kwamba kuna clip mnatengeneza kwa ajili ya Mbowe , unajua nyie mliongia ccm kwa sababu ya ukabila haya hamuwezi kuyajuaUSHAURI WA BURE
Kwanza anzeni kumsafisha Mbowe, M/Kiti, kwa tuhuma zinazoelekezwa kwake na viongozi wanaohama, wengine wa ngazi za juu. Bila kufanya hivyo, utakuwa ni usanii siyo wa kisiasa, bali wa mitaani. Kuna ushahidi ulio wazi kuwa hakuna hata kiongozi mmoja wa CHADEMA anayayaishi yaliyo kwenye Katiba na Sera za Chama.
Nondo juu ya nondo. Spana juu ya Spana
USHAURI WA BURE
Kwanza anzeni kumsafisha Mbowe, M/Kiti, kwa tuhuma zinazoelekezwa kwake na viongozi wanaohama, wengine wa ngazi za juu. Bila kufanya hivyo, utakuwa ni usanii siyo wa kisiasa, bali wa mitaani. Kuna ushahidi ulio wazi kuwa hakuna hata kiongozi mmoja wa CHADEMA anayayaishi yaliyo kwenye Katiba na Sera za Chama.
[/QUOTE
Mnataka Mbowe tumjue kiasi gani na kwa lipi zaidi, kuliko mnavyompamba humu na wanavyomsema viongozi wenzake waliohama na waliobaki kwenye CHAMA CHAKE! Mnamwita MWAMBANdio maana unapaswa kumjua kwanza Mbowe ni nani na anafanya nini kabla ya kumpa tuhuma. Usikonde hoja zitajibiwa.
Masahihisho : Mpaka naandika hapa tayari Chadema ina zaidi ya wanachama mil 10Tunatanua wigo na kuongeza wanachama wengi zaidi. Mpaka sasa tuna wanachama 6M. Hii namba inawachanganya sana ccm. Wao pamoja na Data za uongo kama walivyozoea wana 10M. So imagine namba halisi ni ngapi??
Hahaha Yani Sijawahi kushuudia uzezeta uliokubuu hasa kwenye taasisi ya vijana kama BAVICHA hakika mungu anawaona
Ben Saanane Yuko wapi who wanted Lissu dead?Bilioni 8 ziko wapi?
Mida ya wanga au sio?Good move Chadema ...👍👍👍👍👍
Kwenye 8 billion zilizoliwa wapo hao mkuu.Chadema inatakiwa kuwafutilia mbali hawa vijana ambao wanalipwa na mwenyekiti mbowe kwa ajiri ya kumsifia tuu humu mitandaoni kiasi kumfanya bwana mbowe kuonekana anakubarika saaaana uko mtaani kumbe umaarufu unaishia tuu humu Jf uko mtaani watu awataki hata kusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mida ya wanga au sio?
Imekuwa asubuhi kokoriko halafu shuka gubi gubi
Rafiki yangu Erythro, hatua hii ilibidi isubiri hadi sasa?swali la kijinga sana !
Bilioni 8 ziko wapi?