CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

Rafiki yangu Erythro, hatua hii ilibidi isubiri hadi sasa?

Basi sawa, maadam imeanza ngoja tutachambua.

Lakini siondoki bila kusuta (kwa nia njema)

Hata vipeperushi tu hamuwezi kuchapisha wananchi mitaani na vijijini wakajisomea?

Nyinyi lengo lenu ni mitandao? Hawa wa mitandao mnaotumia nguvu zote kuwafikia, hata kura hawapigi; huku wananchi wanaostahiri kabisa kujua mnayoyasimamia kama chama huko vijijini wakiwa hawana ufahamu mzuri juu yenu.

Anapopita CCM huko mitaani/vijijini, huku akiandamana na polisi, na huku akigawa kofia na fulana anazoa wananchi wote!

Nyinyi mnang'ang'ania mitandao!

Hata mkasirike na kusema mnazodolewa, huu udhaifu wenu ni faida kubwa sana kwa CCM.
Aliyekwambia Kura hatupigia nani?? KAMUULIZE LUBUVA NA MAGUFULI 2015 TULIPIGA KURA NGAPI NA YEYE ALIPATA NGAPI. USIONE CCM INACHANGANYIKIWA UKADHANI NI MZAHA. WEWE UNAYESHINDA UNAPUYANGA HUKO TANDALE HUNA UNACHOKIJUA.
 
Eenh, mkuu 'Pythagoras' hili halikuhusu. Limeelekezwa moja kwa moja kwa mhusika anayefahamu vyema ninachoandika hapa.

Hii sio mara yako ya kwanza kuparamia ninayoandika bila kuwa na ufahamu wowote. Nilishajibishana nawe huko nyuma, sitaki nikuweke kwenye orodha ya wapuuzi kadhaa mlioko huko CHADEMA msiokuwa na mchango wowote wa maana bali kusubiri tu muwe kama akina Bashite wa CCM endapo CHADEMA watapewa nafasi na wananchi.

Naanza kukuona kuwa kama mpuuzi fulani tu.

Hapa nimekujibu kistaarabu sana.
 
Wewe na Bashite nani mjanja?? Hujui tu unachoongea. Nimekusamehe na imani utajirudi.
 
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Beautiful creation

Jr[emoji769]
 
Sema baadh ya viongoz walio pita Sio wote Mana Kuna watu wamebunda ndani miaka na miaka
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom