Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Oct 2020 lazima watemeshwe NDOANO Nzi wa KIJANI .....View attachment 1458772
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .
Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .
Mungu ibariki Chadema
NO HATE NO FEAR
Aluta Continua , Victory Acerta!! Naikumbuka sana hii Signature ya Ben Saanane.