CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

Kipindi kinarejeshwa tena hewani , kaa tayari .
 
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Tunataka kujua na tuone invoice za matumizi ya operation hizi, na risiti za Efd za matumizi yote ya gharama za uendeshaji wa operation. Lengo tuone kama Kodi stahiki za serikali kama zinalipwa. Pia tuone kama matumizi halali ya ruzuku na michango ya kadi za wanachama wa Chadema na wafadhili wéngine kama yanatekelezwa.
===
Kurusha povu ruksa!
 
Badilisheni muda mchana uwe muda wa marudio ,pigeni kipindi usiku singofather na mother iwe faraja yetu pia
 
Tunataka kujua na tuone invoice za matumizi ya operation hizi, na risiti za Efd za matumizi yote ya gharama za uendeshaji wa operation. Lengo tuone kama Kodi stahiki za serikali kama zinalipwa. Pia tuone kama matumizi halali ya ruzuku na michango ya kadi za wanachama wa Chadema na wafadhili wéngine kama yanatekelezwa.
===
Kurusha povu ruksa!
Hoja yako ni nzuri lakini iko nje ya mada hii , bali unaweza kuifungulia uzi mwingine tutakuja hukohuko kufafanua
 
Ha ha haaaa! Nimependa sana upole wako kwenye hili. Kwa muktadha wa kuboresha muonekano wa Chadema, nashauri hoja hii ijibiwe popote/kwenye uzi wowote itakapoibuliwa.

Hii tasaidia sana kuimarisha taswira ya Chadema ya kuaminika mbele ya watanzania.

Karibu sana kwa majibu.
 
HHo
View attachment 1458772

Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea .

Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye watazamaji wengi ( siyo TBC ) zinaendelea .

Mungu ibariki Chadema

NO HATE NO FEAR
Hongera chadema ni hatua nzuri, nashauri pia elimu hiyo na semina zingine wapewe viongozi wote wa chadema kuanzia mashinani ili kujenga chama Cha uelekeo na maono ya pamoja
 
Ha ha haaaa! Nimependa sana upole wako kwenye hili. Kwa muktadha wa kuboresha muonekano wa Chadema, nashauri hoja hii ijibiwe popote/kwenye uzi wowote itakapoibuliwa.

Hii tasaidia sana kuimarisha taswira ya Chadema ya kuaminika mbele ya watanzania.

Karibu sana kwa majibu.
Si kila Mwanachadema anaweza kujibu hilo , haya yanamhusu Katibu Mkuu , ndio maana tunakuomba uanzishe uzi ili tumpigie Katibu Mkuu aje moja kwa moja na majibu kwenye uzi wako
 
Nashukuru sana. Nimepe muda nikiukamilisha uzi nitakuita kwa "tag" ili uweze kumuita Katibu wa Chadema kama ulivyoahidi.
 
Back
Top Bottom