Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Psychopathy alikuwa.Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Usifamfanishe mwendazake na Mambo ya maana, wivu wa mke mwenza unafaida zake kwa bwana kwa hisia.Marehemu Mzee Pombe alikua na wivu kama mke mwenza.
alikuwa na hofu ya kushindwa. Bora angeshindwa uchaguzi lakini kilichomkuta huko aliko anajutaHalafu kilichomkuta sasa....
Kiongozi jambazi siku zote huwa hajiamini, muda wote anawaza kukamatwa na kuumbuliwa. Njia pekee kwao ni kuzuia wengine wasiongee kwa kutumia njia yeyote (halali or haramu).Kiongozi mwema siku zote huwa hana hofu ya watu kuongea, sababu anajua hata uongee kiasi gani yeye yupo clean.Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Ni ushetani tu.Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
SI KWAKUWA WAMEKUA NA ADABU KUUBWAA? KIPINDI CHA NYUMA MIKUTANO YAO ILIJAA VITISHO NA MAANDAMANO. WATU WALITAMANI MAANDAMANO HADI MSIBANII, KWAHIO WAMEKUWA WAADILIFU KABISAA. MIMI NIMESHIRIKI KIKAO CHAO KIMOJA SIJAONA HATA LUGHA YOYOTE YA UCHOCHEZI WALA LUGHA CHAFU. KWAKWELI WAENDELEEE HIVO HIVOO NA MUNGU AWABARIKI.Chadema wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika mikoa 24 sas, iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati. Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Alikuwa akijenga mazingira rafiki ndani na nje ya bunge ili aweze kubadilisha katiba kirahisi pasipo kuwepo kizuizi chochote kile akapate kutawala pasipokuwa na ukomo.CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.
Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Swali muhimu hili kwa Siro natamani angeulizwaAulizwe Sirro imekuwaje tena, ile intelijensia yao imeishia wapi?
Mnaridhika kwa vitu vidogo sana.....CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.
Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Aulizwe Sirro imekuwaje tena, ile intelijensia yao imeishia wapi?
Hapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.Aulizwe Sirro imekuwaje tena, ile intelijensia yao imeishia wapi?