Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hii nchi, mtu mmoja anaweza kufanya watu kama wanasesele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hatuna cha kumfanya
Katiba mbovu hii
Nazidi kusisitiza lete hoja siyo vioja na vihoja na matusi. Ukishindana na mjinga, wenye akili watakuona nawe kama mjinga na mpumbavu huyo. Solution ni kumsamehe aendelee na ujinga wake hadi atakapokutana na shetani, labda atamsaidia. Again nasema lete hoja, otherwise sh## up!Ndiyo mana watu wanawaona nyie mataga hamna akili au wapumbavu(sorry to say that) , hivi baada ya mdhalimu mwendazake kufa ambaye alizuia vyama vya siasa hasa upinzani kufanya siasa, sasa watu wako huru na katiba inafatwa ila wew bado unataka aulizwe Mbowe?
Hata nimekosa kundi la kukuweka.
Wakati wa magufuli usalama wa nchi ulikuwa mdogo, kulikuwa na ulazima wa kuzuia mikutano isiyo na umuhimu ikiwemo mikutano ya kisiasa.CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.
Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?
Usalama wa nchi imeimarikaAulizwe Sirro imekuwaje tena, ile intelijensia yao imeishia wapi?
OK haya! Nawatakia kila la heri! Tukutane Tobo atakaporudi hapo 2025 au siyo!SI KWAKUWA WAMEKUA NA ADABU KUUBWAA? KIPINDI CHA NYUMA MIKUTANO YAO ILIJAA VITISHO NA MAANDAMANO. WATU WALITAMANI MAANDAMANO HADI MSIBANII, KWAHIO WAMEKUWA
Mkuu, wapinzani wapo vile vile, hawajawai kutukana Mtu au kufanya uchochezi wowote! Kuhamasisha maandamano na watu kuandamana ni haki ya kikatiba!
Mabadiliko unayo yaona siyo ya wapinzani, ni serikali imebadilika, tulikuwa awamu ya tano, sasa tupo ya sita!