CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

Wametoa matusi au vitisho kwa mkuru au wanafaya yao kisha wanasepa?
Zamani mlikuwa hamuwezi kufanya mkutano bila kumtaja magufuli trna kwa matusi na vitisho.

Sas kwa hiyo mikoa mmemtaja samia mara ngapi ili tujue kama mmetukana kisha mkaachwa?
Ndugu, hebu tuweke ka-clip basi tuione hiyo mitusi.
 
mngekuwa na akili mngemshukuru mwendazake kwa kuwafanya msikike,ila kwakuwa mnafikiri kwa kutumia makalio hamuoni kinabii.

fikiria mkoa wa 22 halafu hatujui mpaka umekuja kutujuza hapa.
 
Chadema na vyama vingine vya siasa vimeachwa viendelee na shughuli zao, ili watapoangukia pua mwaka 2025, wasije na lawama za kuzuiliwa kufanya mikutano na mizunguko yao. Nadhani safar hii lawama zao watazihamishia kwa tume na katiba mpya. Kwa style hii ya uongozi wa mama uliotukuka, lazima viongozi wa upinzani watangaze kususia uchaguzi ili kuficha aibu watakayokumbana nayo mwaka 2025. Uongozi wa mama anatumia zaidi akili, utu, upendo na ujasiri, pia anatatua kero za wananchi wake, na hapindishi pindi sheria wala kuvunja katiba.
ukisikia kuachwa samaki ajikaange ndio hiyo.
 
Hapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.
SI KWAKUWA WAMEKUA NA ADABU KUUBWAA? KIPINDI CHA NYUMA MIKUTANO YAO ILIJAA VITISHO NA MAANDAMANO. WATU WALITAMANI MAANDAMANO HADI MSIBANII, KWAHIO WAMEKUWA
Hapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.
Mkuu, wapinzani wapo vile vile, hawajawai kutukana Mtu au kufanya uchochezi wowote! Kuhamasisha maandamano na watu kuandamana ni haki ya kikatiba!
Mabadiliko unayo yaona siyo ya wapinzani, ni serikali imebadilika, tulikuwa awamu ya tano, sasa tupo ya sita!
 
Lete HOJA ndugu, wacha vineno visivyo na tija humu JF kijana!
Ndiyo mana watu wanawaona nyie mataga hamna akili au wapumbavu(sorry to say that) , hivi baada ya mdhalimu mwendazake kufa ambaye alizuia vyama vya siasa hasa upinzani kufanya siasa, sasa watu wako huru na katiba inafatwa ila wew bado unataka aulizwe Mbowe?
Hata nimekosa kundi la kukuweka.
 
Pole ndugu, utakapokuwa mkubwa ujifunze kuwa na tahadhari na mambo ya kusikiasikia tu.
Yafaa uwe unatumia japo muda kidogo kuyatafakari kwanza kabla ya kuyashupalia.
Kwa sasa mumekuwa wasitarabu hadi mumependeza. Lugha zenu na siasa za uana harakati mumeimprove pakubwa saanaa. Tumieni lugha nzuri na zenye sitaha mtapendeza zaidiii
 
Yaani hii nchi, mtu mmoja anaweza kufanya watu kama wanasesele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hatuna cha kumfanya
Katiba mbovu hii
 
Back
Top Bottom