kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
K
Kwani si lidicteta lilishakufa?CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi, sipati.
Kwanini alidhamiria kuua vyama vya upinzani.
WHY?