CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

K
Kwani si lidicteta lilishakufa?
 
Mkuu ila Tanzania Bara haina mikoa 26 tu mkuu

Rekebisha hapo

Idadi ya Niko 26 ilikua kipindi kile Mkapa alivyoongeza mkoa wa Manyara

Baada ya hapo imeongezwa mikoa ya Katavi,Simiyu,Geita,Songwe na Njombe

Hivyo Tanganyika (Mnayoita Bara) ina mikoa 31 na pengine kiujinga ujinga utaongezwa wa 32 hivi karibuni
 
Sahivi mbowe angekua ndani, Tanzia zingeshaandikwa za kutosha, wavaa uniform wangekuwa mbele ya makamera na virungu vyao kutishatisha watu....
 
Kiujinga ujinga kweliii
 

Hapa umecheza na maneno ili uonekane unajua sana kutabiri. Msimamo uko wazi, bila tume huru ya uchaguzi, hakuna kushiriki ushenzi wowote uitwao uchaguzi. hini ya tume hii hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Chini ya tume huru ya uchaguzi, hata kama ccm watashinda sio zaidi ya 50%, na uamuzi wa lolote ndani ya bunge utakwisha. Hii ndio hofu kubwa sana ya ccm kuhusu tume huru ya uchaguzi, maana ccm sio chama cha kizazi hiki.
 

Hapana, kiongozi muovu yuko motoni, hivyo siasa za kishenzi zimeondoka rasmi nchini.
 
Huna akili wewe, ni kama siasa za mtaka yote kwa pupa alieishia kuzikosa zote. Kazi hiyo ya marehemu iungwe mkono na mazezeta kama wewe [emoji107]
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Siasa za kistaarabu ni zile alizotaka jiwe za kumtukuza yeye kama mungu ambazo tulizikataa ?
 
Kama mamluki ulifuata mini kwenye kikao chao,huoni ungeweza kuwa sababu ya uvunjifu wa amani.
 
Wewe ni mmoja wawalioamini katika matumizi ya mabavu, na uonevu usio na tija, kumbuka enzi mpya hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…