CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

Yaani Chadema wapo free, na nchi ilivyo na mambo mengi hata airtime yao imekuwa ndogo sana.

Mama hapa ameepusha lawama zisizo na msingi.
 
Mkuu, wapinzani wapo vile vile, hawajawai kutukana Mtu au kufanya uchochezi wowote! Kuhamasisha maandamano na watu kuandamana ni haki ya kikatiba!
Mabadiliko unayo yaona siyo ya wapinzani, ni serikali imebadilika, tulikuwa awamu ya tano, sasa tupo ya sita!
 
Ndugu, kama unayo clip yoyote uonayo ni ya UCHOCHEZI, hebu tuwekee hapo, nasi tuuone.
 
Taga unahangaika sana, na hupati teuzi, amini nakwambia utabaki taga wa buku 7 maisha.
 
Alikuwa akijenga mazingira rafiki ndani na nje ya bunge ili aweze kubadilisha katiba kirahisi pasipo kuwepo kizuizi chochote kile akapate kutawala pasipokuwa na ukomo.
Haswa, maana hakujaaliwa kuwa na mvuto wala ushawishi.
 
Wametoa matusi au vitisho kwa mkuru au wanafaya yao kisha wanasepa?
Zamani mlikuwa hamuwezi kufanya mkutano bila kumtaja magufuli trna kwa matusi na vitisho.

Sas kwa hiyo mikoa mmemtaja samia mara ngapi ili tujue kama mmetukana kisha mkaachwa?
 
Ila kasema mpaka sasa,
 
Ila kasema mpaka sasa,
Sijaongelea 24(mikoa waliyopita mpaka sasa) nimeongelea 26(amesema kati ya 26 ya Tanzania Bara)

Alitakiwa aseme 24 kati ya 31 ya Tanzania Bara

Mpaka sasa haihusiki hapo
 
Kumbe Ingizo jipya !
Yes ni ingizo jipya kwa tarehe ila sisi ni wazoefu humu tangu enzi za akina MAGAZINE, MZEE MUKARUKA na wengi wengine. Sijui wewe ulikuwa wapi wakati huo. Haya ni majina ya Akaunti mpya tu kuendana na muda na majira kwa sababu mujarabu kwa malengo mahususi! Upo hapo, lete pointi na hoja siyo VIHOJA na VIOJA!
 
Ndiyo maana alikufa yeye mwenyewe
 
Amebakiza kujenga mifumo imara itayojenga uongozi imara. Hii itajengwa kwa kuwepo Katiba mpya inayotokana na wananchi.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyejitia kimbelembele kutaka kuifuta Chadema amefutika yeye kwe uso wa dunia anagaragazwa jehanam ya moto.
 
How can one be afraid of a toothless bull dog?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…