CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

Njia ya muongozo ni fupi sana...

Kipindi kile ilikua inasemekana ziara zao zina viashiria vya uvunjaji wa amani...
Basi utaona defender kibao, virungu na mabomu ya machozi...

Mbona sasa Mama karuhusu hatujaona huo uvunjaji wa amani?
 
Nazidi kusisitiza lete hoja siyo vioja na vihoja na matusi. Ukishindana na mjinga, wenye akili watakuona nawe kama mjinga na mpumbavu huyo. Solution ni kumsamehe aendelee na ujinga wake hadi atakapokutana na shetani, labda atamsaidia. Again nasema lete hoja, otherwise sh## up!
 
Wakati wa magufuli usalama wa nchi ulikuwa mdogo, kulikuwa na ulazima wa kuzuia mikutano isiyo na umuhimu ikiwemo mikutano ya kisiasa.
 
OK haya! Nawatakia kila la heri! Tukutane Tobo atakaporudi hapo 2025 au siyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…