NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa uwazi zaidi na huru.Ni kweli hata hizo kura milioni moja mbona ni nyingi sana. Kwa huo uchaguzi wa kutaka kumfurahisha Magufuli, hata kura 20 zitakuwa ni maajabu.
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa uwazi zaidi na huru.
Yule mama lazima tumle kichwa, anakimbilia kwenye vyombo vya habari kutangaza nia bila kufuata mwongozo wa CHADEMA!Miongoni mwa wanasiasa wachache kwenye akili kubwa ni JJ mnyika amenifanya niipende siasa
Acha kusimamia porojo za Mnyika na uzushi wake.Wa uwazi wakati tume ya uchaguzi imesema haitatoa fomu za matokeo kwa mawakala, haruhusiwi msimamizi yoyote wa uchaguzi kusema kasoro mpaka uchaguzi uishe. Hayo ni baadhi tu ya upuuzi utakaokuwepo kwenye huo uchaguzi. Au hujui maana ya uwazi nini dogo?
Acha kusimamia porojo za Mnyika na uzushi wake.
Yani tume iamue hivyo alafu Zito Kabwe akae kimya.Unamjua vizuri yule muha au unamsikia?
.
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.
Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.
Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.
STAY TUNED.
=====
"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.
"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.
"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
Eti kuitoa ccm madarakani!

Haahaa, andika barua kwa katibu mkuuMimi mmh natangaza kugombea uraisi kupitia cdm naombeni kura zenu.
Haahaa kwa kura chini ya tume hii Ni ngumu kumeza.Eti kuitoa ccm madarakani!
Ndoto nyingine siyo sawa hasa ukilala mchana
Kwa CDM huyu ndiye mtu sahihi kabisa, ambaye ni ngumu kwake kughilibika kwa rushwa na hatimaye kuunga mkono juhudi. Ni mwanasiasa ambaye CCM wanamuogopa kuliko mwingine yeyote yule hapa nchini. CCM ipo tayari kujaribu kuifitia usajili CDM kuliko Mh. Lissu akapambane na mpeperusha bendera wake.
pale-pale mlipompia Mangula sumu.
Hivi aliwahi kuwa na mvuto lini?Siku hizi nani yule naniii yulee naniii Bashiru akiongea wala havutii masikion mwa watu. Sijui tatizo nini
Kipindi yupo UDSM akiwa anatumia akili timamu kuongea na wanafunzi wake.Hivi aliwahi kuwa na mvuto lini?
Kikubwa kutokukata tamaa.......
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.
Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.
Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.
STAY TUNED.
=====
"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.
"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.
"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
Alitumwa toka kwa akina mwambe bila shakaYule mama punguani lazima tumle kichwa, anakimbilia kwenye vyombo vya habari kutangaza nia bila kufuata mwongozo wa CHADEMA!
Alafu ukite wewe ni bavicha..Siku hizi nani yule naniii yulee naniii Bashiru akiongea wala havutii masikion mwa watu. Sijui tatizo nini
Kwa hiyo,kumbe unampango wa kuhamia ACT?Kuna uzi ulioletwa hiyo jana na katibu mkuu wa ACT akilalamikia jambo hilo hilo. Huenda hujaagizwa na wanaokulipa ukajibu hoja huko. Waombe ruhusa uende kwenye huo uzi ukapotoshe.