CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Ni kweli hata hizo kura milioni moja mbona ni nyingi sana. Kwa huo uchaguzi wa kutaka kumfurahisha Magufuli, hata kura 20 zitakuwa ni maajabu.
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa uwazi zaidi na huru.
 
Wa uwazi wakati tume ya uchaguzi imesema haitatoa fomu za matokeo kwa mawakala, haruhusiwi msimamizi yoyote wa uchaguzi kusema kasoro mpaka uchaguzi uishe. Hayo ni baadhi tu ya upuuzi utakaokuwepo kwenye huo uchaguzi. Au hujui maana ya uwazi nini dogo?
 
Acha kusimamia porojo za Mnyika na uzushi wake.
Yani tume iamue hivyo alafu Zito Kabwe akae kimya.Unamjua vizuri yule muha au unamsikia?
 
Kuna uzi ulioletwa hiyo jana na katibu mkuu wa ACT akilalamikia jambo hilo hilo. Huenda hujaagizwa na wanaokulipa ukajibu hoja huko. Waombe ruhusa uende kwenye huo uzi ukapotoshe.
 
Sio kama chama cha Jiwe kupita sijui atapitia wapi wenye chama wanae labda aende Nccr mageuzi kama alivyoiandaa maana na kadi anayo tayari.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.

Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.

Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.

STAY TUNED.

=====

"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA

"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.

"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.

"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
.
IMG-20200603-WA0114.jpg

Jr[emoji769]
 
Eti kuitoa ccm madarakani!
Ndoto nyingine siyo sawa hasa ukilala mchana
 
Kwa CDM huyu ndiye mtu sahihi kabisa, ambaye ni ngumu kwake kughilibika kwa rushwa na hatimaye kuunga mkono juhudi. Ni mwanasiasa ambaye CCM wanamuogopa kuliko mwingine yeyote yule hapa nchini. CCM ipo tayari kujaribu kuifitia usajili CDM kuliko Mh. Lissu akapambane na mpeperusha bendera wake.

Makada wa chama tawala wameja "fear of unknown" wa kile kinachoendelea ktk mchakato wa CDM kumtafuta mpeperusha bendera wake.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.

Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.

Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.

STAY TUNED.

=====

"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA

"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.

"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.

"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
Kikubwa kutokukata tamaa.......
 
Kuna uzi ulioletwa hiyo jana na katibu mkuu wa ACT akilalamikia jambo hilo hilo. Huenda hujaagizwa na wanaokulipa ukajibu hoja huko. Waombe ruhusa uende kwenye huo uzi ukapotoshe.
Kwa hiyo,kumbe unampango wa kuhamia ACT?
mpaka unawafatilia kiasi hiki!!
 
Back
Top Bottom