CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Hawa jamaa kwa comedy wapo vizuri
 
LISSU
 
Inamaana hamjapanga na kumwandaa mgombea wa kumsidikiza jpm katika ushindi wake .chadema unamatatizo gani tuleteeni msindikizaji
Ushauri wako si wa kidemokrasia
 
MEMBE ATAGOMBEA NDANI YA CCM NA ATAPITA
 
Mimi mmh natangaza kugombea uraisi kupitia cdm naombeni kura zenu.
Mimi ninasubiri tume huru ya uchaguzi, kufutwa kwa kifungu cha kutopewa nakala ya matokeo ya kura kwa wawakilishi wa vyama vya siasa ikiwa mojawapo ya maadili ya uchaguzi, na ikiwezekana ipatikane katiba mpya; ndipo nitachukua form ya kugombea urais kupitia chama chochote kile ikiwemo Ccm! Chadema na Act-wazalendo hoyeeeee!
 
Reactions: mmh
Huu Uzi nimeuchukua Kama kumbu kumbu takukumbusha mwakan pia ningeomba na wewe uchukue hii comment yangu ya kua chadema mnaenda kupoteza kambi kuu bungeni na mbowe anaenda kupoteza ubunge na msigwa
Takukumbusha utakapo amka naona sasaiv unaota [emoji1787]
 
Hata uchaguzi uliopita kulikuwa na huo umoja.
Ndo huo umoja uliwapa kura nyingi na wabunge wengi chadema,kwa kupata kura za CUF,NCCR,NLD na kura za wanachama wa CCM waliokua na mahaba na Edlow.

Kwa sasa never.hakuna tena mbeleko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…